#HABARI Shirika la Reli Tanzania TRC limependekeza nauli mbalimbali za abiria katika Treni za Reli ya Kisasa SGR ambapo mapendekezo hayo yamepelekwa mamlaka ya udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kwa ajili ya kupokea maoni ya wadau kuhusu nauli hizo
#EastAfricaRadio