Naogopa kula cha usiku kwa yule mama ntilie wangu wa siku zote hapa MAKUMBUSHO. Naogopa asije kuniwekea SUMU kwenye CHAKULA nikafa nikakosa Press ya POLEPOLE saa 3 usiku.
Ni fahari kumsikiliza @TunduALissu akijenga hoja. Unamsikiliza TAL katika kizimba cha Mahakama - Kisutu akitupiga shule wote tuliopo ndani ya chumba cha Mahakama kuhusu historia ya mashtaka ya uhaini, unasema mtu huyu ni baraka tupu. TAL anaifundisha Mahakama, anaonya na kukanya
Mungu huweka ishara na alama kwenye maisha ya kila mja wake ili iwe iwe kielelezo cha utambulisho wake kwenye jamii aishiyo.
Tazama, wasema kweli wote wanapitia matatizo muda huu, aidha wako jela, wameuawa, wametekwa au wanatishwa sana. Waovu wako huru wanacheka. Alama za Mungu.