Imani ipo katikati ya majaribu na tamaa ya kutafuta unafuu katika mapito!
kwa namna yake Mungu,hata kwa kuchelewa
(wengi tumedhani ivo sababu tumetaka afanye kwa wakati wetu)
Amefanya tena na tena..
Haitakua mara yake ya kwanza,wala ya mwisho..mpaka ukamilifu wa dahali 🙏🏿.
Life lesson kubwa nawakumbusha kila siku humu, ni nadra watu kuhairisha mipango yao kisa wewe unahitaji msaada wa kifedha.
Sijasema wapo ila ni wachache sana.
Unfortunately, I have to admit that I have not done my best. My current situation is a direct consequence of my incompetence. I suck at doing this life thing.
Muhubiri 3:1 "Kwa kila jambo kuna majira yake,na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu."
Mungu ameweka maisha katika majira tofauti.
Kuna majira ya kupanda na majira ya kuvuna, majira ya kujifunza na majira ya kutenda, majira ya changamoto na majira ya mafanikio.