@Mrsiyengo Unchokisema yawezekana ikawa ukweli lakini kwanini unakuta kampuni moja hiyohiyo Mf. Colgate afu iwe na mistari ya rangi tofauti ingawaje umesema rangi zinatofautiana kulingana na kampuni inayotengeneza dawa husika.?
@ponsigk @ExMayorUbungo Waziri inabidi atengue kauli yake coz yey ni kiongozi wa Kisiasa..,mpira unasimamiwa na chombo maalum ambapo ni TFF...kauli yake waziri italeta impact mbaya kwenye shirikisho la mpira Tanzania na CAF