@prossoff@kizzyjr10 Anachokiongea jamaa yupo sahihi, mimi nina harrier pia na hii ilinikuta, taa ndio kwanza ilikuwa imewaka nikawa natoka Kimara Temboni naenda Kawe, nikaweka mafuta ya 30k Temboni, hadi nafika Mwenge taa haijazima na mshale unazidi kushuka, nikaongeza mafuta na taa ikazima