Si kila unayempenda utaishi naye, na si kila anayekuja katika maisha yako amekusudiwa kubaki..wengine huja kutufundisha,wengine huja kutufanya imara na wengine hutufundisha namna ya kuachilia. Upendo wa kweli si lazima umiliki, wakati mwinginw ni kukubali umbali na kumuombea kher
Hakuna mwanadamu ambae hapendi hela, hivyo kipimo kizuri cha kujua kama mwanamke anakupenda ni kumpitisha msoto wa bila kumpa pesa pale anapokuwa na uhitaji sana na hiyo pesa…Ni ukatili ila ni dawa🚀
Pambania unachokiamini, watunze na waheshimu wanaokupenda mshike anayekushika, mpende anayekupenda usipoteze muda kwa asiye na muda na wew maisha ni mafupi mno ishi na wanaojali thamani ya uwepo wako.