Someone in my DMs is asking if there truly is a rose repair ama ilikuwa jokes. Anasema this is the second one ime zima hajui what to do.
Treat as urgent sheโs losing hearing in her left nose.
Yaani kuna Video zaidi ya 100 in public, alafu wanataka kujitetea on that one video.. ILI IWEJE?!
Kwanza wana insult our intelligence, na pili, wana watusi watu waliofiwa na ndugu zao na kuamsha hisia upya hasa ambao wamelazimika kuzika nguo na viatu tu, na video zinaonyesha miili ya ndugu zao.
YOU GUYS NEED TO LET IT SINK IN KUWA MMEFELI NA HAKUNA PLAUSIBLE COMEBACK ITAKAYOFANYA KAZI.
Ile PCM class ya Kibaha 2021 ilikuwa GOATed.
I'm glad nilikuwa part ya ile pool man. Ilikuwa stacked na brains balaa๐๐ฅ๐ฅ
Kulikuwa na integration problem moja, fundi mmoja anaitwa Mwaka aliingia akacheki ubaoni, ile substitution alipiga pale ilibidi apewe standing ovation