Chumba chako unacholala kina taarifa zako zote.
Kitanda chako kina taarifa zako zaidi wewe au mnaolala hapo.
Chumba chako kinahifadhi nguvu zako,baraka,mikosi na mambo ya kukufanikisha au kukufelisha yanaanzia chumbani kwako.
Chumbani panatakiwa kuwa safi na kusiwe na msongamano wa vitu.
Chumbani kitandani shuka ni vyema kutolewa ndani ya siku 3 na kufuliwa hata kama sio chafu, punde baada ya kufanya tendo la ndoa kwa wana ndoa kesho yake,
Na kufuliwa kwani kama kuna mtu mbaya akipata hata uzi au maji ya shuka mlilolalia, hii dunia mtaiona chungu na kuchukiana vibaya sana kwa muda mrefu au kutengana kwa sababu zisizo na maana.
Husimpe mfanyakazi wa ndani (house girl) kufua mashuka ya kitanda unacholalia.
Chumba chako unacholala ni marufuku watu kuingia ingia hovyo kama si watu wafuatao (watoto wako,mume/mke au baba yako na mama yako Mzazi kama wapo hai).
Hata dada yako, kaka shangazi, rafiki ni mbaya kwenye maisha yako.
Nilipungua Kilo 8 kwa mwezi mmoja, Bila Dalili Nilidhani Ni kawaida, Kumbe Ni Alama ya Hatari..! π³
Hakuna kikohozi, Hakuna homa, Hakuna maumivu, Unakula kama kawaida, muda mwingine hata zaidi...
Lakini mwili unaendelea kuyeyuka kama mshumaa wa pasaka...
Je, hii ni ishara ya afya njema? Au kuna jambo kubwa linajificha nyuma ya pazia...?
Naoma Repost kuokoa maisha ya mpendwa mmoja: Open Thread π§΅