@KennedyMmari Ukipata kusoma watu kwa biblia waliitwa Nefili ndio utaelewa zaid maana wale walikuwa ma giant kweli kweli yaan kiwiliwili cha mtu wa leo ndo mkono wake
@dyabala01 Imani pia zinasaidia
Mke/mme akichepuka sharti aoge kabla ya kumshika mtoto vinginevyo kubemenda kutahusika tu.
Unakuta mtoto ana maendeleo mazuri ya ukuaji tu sa jichanganye kutumia sayansi zako