Free Website & Apps zinazoonesha mipira yote Duniani (live streaming)
Ni Muhimu kuzijua tunapoelekea World Cup na kucheki game nyingine Online
Bookmark, Like& Repost
Tread 🧵🔥👇🏿
1. Crisfy TV
𝗔 𝗧𝗵𝗿𝗲𝗮𝗱 𝗪𝗼𝗿𝘁𝗵 𝗛𝗮𝗹𝗳 𝗮 𝗠𝗶𝗹𝗹𝗶𝗼𝗻 𝗗𝗼𝗹𝗹𝗮𝗿𝘀
🚨 Bitcoin ipo kwenye critical tipping point
What’s really happening with BTC?
What’s the NEXT move?
Here’s my full technical breakdown 👇
💡 Bookmark Thread for Future Reference
Shuka nayo 👇
🧵🧵🧵
Watu wengi wanauliza kuhusu Matumizi ya VPN na Ufahamu iwapo SERIKALI na Mtoa huduma wako wanajua kwamba unatumia VPN.
Tukitaka kuongelea VPN inabidi tuanzie mbali ili kuelewa nini haswa tunaongelea na umuhimu wake.
Hii itatusaidia kupata uelewa na elimu pana.
Thread/uzi 👇
Hakuna kampuni kubwa ya Teknolojia itakuja kuwekeza hapa Tanzania, tumekuwa tukisema hili kila siku na mmeona wenyewe.
Tutakuwa tunaziona kwa majirani hizi Global Tech companies kama Google, Microsoft, Amazon, Meta, Oracle, IBM, Opera, Airbnb, Huawei etc.
I pay $20 Per month to use ChatGPT and SORA.
I create content on YouTube, and I earn $3000+ / Month.
A.I. enables one-man businesses.
You have access to all the tools and all the information on how to use the tools is free on YouTube.
What's stopping you from starting today.
Zamani Kidogo.,Kabla ya Azam na Turkish Drama,Hapo Mwanza ndani ya Studio za Star Tv Walitikisa Haswa na Tamthiliya za Kifilipino sio poa.Walikujaga na Kitu Inaitwa The Promise humo ndani Kuna Mkali Angelo na YnaMorata afu kuna Mzee mzima Eduardo Buenavista.Jamaa Walitubless mno.