Polisi wa UGANDA
Anayekandamizwa na kuvuja damu Ni RAIA wa UGANDA.
Najaribu kuifikiria AFRICA na kujiuliza Sana moyoni,kwanini hatupendani sisi kwa sisi?
Raisi @KagutaMuseveni anamwaga damu za watu ili tu abaki madarakani, hajali uhai wa mtu.
Yaani tunapolalamika oooh bando zimepanda bei sijui nini - tuwe tunakwenda huku na kusoma wabunge wetu wa bunge la malaika walipitisha nini yaani..
👉makampuni ya simu yanalipa 25% kodi ya mapato
👉yanalipa 10% kama ada ya tozo
Maana yake wateja ndo mnakutana na moto sasa🤣
Tujenge mzoea ya kisoma hizi bajeti zinazopitishwa na watukufu wabunge wetu ! Tunapolalamika kuwa sijui maji yamepanda bei, mafuta ya kupikia yamepanda bei,miamala sijui na ya kutokea imepanda! Yalianzia huku na ndiyo maana wabunge wanatuonaga mazuzu sana maana hatusomi!
Vijana mmeshaambiwa mjiajiri lakini hamsikii. Kifupi tu watu msipasuke vichwa kisa hizo dili za matangazo.. Kikubwa tambueni rizki anatoa Mungu. Kama amekuandikia kuwa dili za matangazo zitakuja kwako hata kwanini hakuma wa kuzuia. Uwe una contents nzuri au mbaya kama ipo ipo tu.
Naomba wote ambao mko unfollow mretweet na mnifollow tena, Account yangu ilichezewa ikaondoa marafiki wengi. Follow na retweet nami nita-follow back fasta...!