#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 261
Mhe. Tundu Lissu anaendelea kusema kuwa shitaka dhidi yangu linahusiana na kauli yangu niliyoitoa Aprili 3, 2025 kuhusiana na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025
Nataka nisema kwamba mimi nina uzoefu mkubwa sana na masuala ya uchaguzi wa Tanzania. Nilipiga kura kwa mara ya kwanza mwaka 1985 kwenye uchaguzi mkuu nikiwa na miaka 18. Kati ya mwaka 1985 na mwaka jana (2025) nimeshiriki katika uchaguzi mkuu either kama mgombea au mpiga kura katika chaguzi zote isipokuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2000 na yale maafa ya mwaka jana
Watu wanacheka 😂😂😂😂😂
Mwaka 2000 sikuwepo Tanzania nilikuwa nafanya kazi Marekani na mwaka jana nilikuwa gerezani.
Waheshimiwa majaji kwenye uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 nikiwa mwanafunzi chuo kikuu cha Warwick Uingereza nilirudi Tanzania kuja kugombea Ubunge jimbo la Singida Kusini, nilisimamisha masomo ya masters.
Waheshimiwa Majaji ukiachilia ushiriki huo, nimeshiriki kwenye masuala ya kesi za Uchaguzi tangu mwaka 2005, ninaamini kabisa kwamba kwenye kesi za uchaguzi mimi ni mjuaji sana na nimjuaji kweli kweli kwasababu nimeshiriki sana kuliko Mawakili wengi wa nchi hii.
Ninaamini kuna Majaji wengi wa Mahakama hii na Mahakama ya Rufani wamejifunzia kwangu kesi za uchaguzi (wala kusema hivi sijitapi)
Waheshimiwa Majaji nje ya huo ujuzi wa kuwa wakili, kuanzia mwaka 2021 hadi nakamatwa mwaka jana nimefanya utafiti mkubwa sana kuhusu mfumo wetu wa uchaguzi sio tu sheria, mfumo mzima tangu kipindi cha ukoloni, ningekuwa sipotezewi Muda Ukonga ningekuwa nimeshachapisha kitabu kuhusu mfumo wa uchaguzi wa nchi hii na uchafu wake.
Jaji Ndunguru anauliza hivi sasa ni saa kumi na moja vipi tuendelee au tuahirishe hadi Jumatatu?
Jaji Ndunguru anamuuliza wakili wa Serikali unasemaje? Anajibu kinyonge sana kuwa ndio nilikuwa naelekea huko tuahirishe hadi jumatatu.
Tundu Lissu anasema naomba nimalizie ili tuahirishe hadi Jumatatu.
Kwasababu ya uzoefu huo waheshimiwa majaji nimekuwa mstarinwa mbele kabisa kupigania mfumo mpya wa uchaguzi hapa nchini. Hakuna hoja yoyote ya uchaguzi ya CHADEMA kwa miaka hii kumi ambayo haijapitia kwenye mikono yangu. Tutaendelea jumatatu waheshimiwa majaji.
Majaji wanaahirisha kesi hadi Jumatatu saa tatu kamili asubuhi na Jaji Ndunguru anasema mshtakiwa tunaamini Jumatatu utamaliza ushahidi wako hivyo summons zitolewe kwa mashahidi
Tundu Lissu anasema hapana waheshimiwa majaji siwezi kumaliza Jumatatu bado kuna kazi.
Majaji wanahirisha kesi hadi jumatatu tarehe 24 Agosti saa tatu kamili asubuhi ambapo Tundu Lissu ataendelea kutoa ushahidi wake.
Kwa namna anavyotoa ushahidi na anavyojua vitu nadhani tumtegemee kutoa ushahidi kwa siku mbili za wiki ijayo.
Inapigwa High Courrrrrrrrrt
Majaji wanatoka sasa
Lissu anaagana na Mawakili wake na wananchi.
Wananchi kwa vibe sana wanaimba Katiba Mpyaaaaaaaaaaa
Wengine wanaitikia FreeTundu Lissu.
Naomba Repost yako.
“VIJANA watarejesha heshima ya nchi yetu, watajenga UPYA nchi yetu tuwasikilize, twende nao na VIJANA WASIKATE TAMAA” FATHER KITIMA.
Hii inayoongea ni PhD Ndugu zangu sio Elimu mbali mbali.
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
BADO SIKU 8 TULIKOMBOE HILI TAIFA.
Maandalizi ya MAANDMAANO YA AMANI yanaendelea kila kona ya nchi. Kama tulivyokubaliana haya maandmaano TUNATAKA MABANGO YAWE YA KUTOSHA.
Andaa hata mabango mawili—ukikuta mtu hana BANGO mpe moja. Jumbe zetu zinaeleweka.
REPOST 200
#D9
#Disemba9Tunatoka
#SamiaMustGo
#SirianiNamba
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Mkti Tundu Lissu anasema ,
Msikubali kupita njia isiyo na haki. Mimi niko imara na sina shida hapa nilipo! Mimi nikifia humu jela, lakini nyinyi mkakaza, jueni mtawasaidia wananchi. Nikifungwa, mkakaza katika haki bado mtawasaidia wananchi. Na nikiachiwa, tukakaza wote kwa pamoja, vilevile tutawasaidia wananchi. Lolote kati ya hayo matatu lina faida kwetu kama tusipozimia mioyo. Kuweni IMARA. 😭😭😭😭
Habari ya BUNGE LA ULAYA Imemfikia mwanetu LARRY MADOWO na CNN.
Kama kawaida Familia imewakilisha tena. Wakati media za bongo zikiwa kimya kimataifa ndio tunaongelewa sisi tuu.
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎
🚨 BREAKING: Bunge la Ulaya limepitisha AZIMIO kali sana dhidi ya serikali ya Tanzania (27 Nov 2025)
🔨Linakemea mauaji ya siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi, makaburi ya HALAIKI na VIBURI vya jeshi lapolisi.
🔨Linamtaja moja kwa moja Tundu Lissu na kulaani kesi yake ya uhaini (Kesi ya MCHONGO).
🔨Linaitaja serikali kusitisha ukandamizaji na kumwachia Tundu Lissu MARA MOJA.
🔨Linadai uchunguzi wa kimataifa unahitajika.
🔨Linaagiza EU (Umoja wa ULAYA) kusitisha misaada ya moja kwa moja kwa serikali na kufikiria kuweka vikwazo dhidi ya serikali ya TANZANIA.
Hii si azimio la kawaida — ni pigo kubwa sana kwa serikali.
Kesho MAAZIMIO HAYA YANAPIGIWA KURA KUPITISHWA NA KUWA MSIMAMO RASMI WA UMOJA WA ULAYA.🙌🏿
REPOST 500
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
@Jambotv_ Hakuna maboresho yoyote yaliyofanyika—ni UONGO mtupu na hadaa. Tumeshuhudia uchaguzi mbovu kuliko chaguzi zote ; wakurugenzi na watendaji wa kata wamehusika moja kwa moja katika kuandaa na kubandika matokeo mnayotaka!
Baba yetu Clemency Mwandambo alipinga maridhiano ya kihuni ametekwa.
Clemence Mwandambo ni ndugu yangu ametekwa leo nyumbani kwake karibu na hospital ya rufaa ya mbeya na watu waliojitambulisha kwanba ni Polisi wakiwa na silaha za moto walimchukuwa kwa nguvu na kumtupia kwenye gari na kutokomea nae kusikojulikana, naomba mtusaidie kupaza sauti
Ripoti ya CNN imethibitisha kwa ushahidi uliosheheni POLISI WAKIUA WATU.
Ripoti ya CNN kupitia Satelite imeonyesha maeneo ambayo yanazaniwa kuwa kutakuwa na makaburi ya HARAIKI ya ndugu zetu.
Ripoti ya CNN imesema maelfu ya WATANZANIA wameuliwa nchi ikiwa GIZANI.
Kiufupi ripoti imekaba kila kona. Kazi yetu sisi watanzania ni kuhakikisha VIDEO NA RIPO YA CNN inaenda MBALI ZAIDI.
Siku ya leo sina kazi yeyote zaidi ya KUSAMBAZA RIPOTI HIYO KILA CHOCHO. KAZI YENU NI KUREPOST ITEMBEEE.
REPOST 500
TUTAKUWEPO🫵😎
Kesho fanya vyote usikose BANDO.
Kesho dunia inaenda kuona kwa kina yote yaliyofanyika GIZANI kupitia kituo kikubwa cha habari cha CNN.
Kumbuka Hii imewezekana kwa nguvu ya UMMA. Page zetu wananchi ziligeuka Media kuihabarisha Dunia wakati Media zimeingia MITINI.
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎
Vijana wa Tunduma na mikoa yote ambayo ina umuhimu Kesho Jumapili andaa chakula cha kuanzia Jumatatu andaa chakula kwa wingi kikae majumbani, mikoa yote mikubwa andaeni chakula na jambo lingine ntawajuza baadae
Retweet hii
Uhuru kenyata meeting with The Currupt Jakaya kikwete Will be Considered as a total Betrayal of the Kenyan Republic to the People of Tanzania
Let the Man and his Axis of terror face their Fate
Kenyas naomba Mumtag Raisi kenyata hapo kwa Comments section
Rt 360
@4thPresidentKE
Magari ya Mbunge wa CCM yamechomwa moto.
MADAI YA WAANDAMANAJI.
1. Uchaguzi ufutwe,
2. Tunataka Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi
3. Waliotekwa waachiliwe huru,
4. Kesi za mchongo zifutwe
#Mo29