@hamzaalbhanj Kumbe nilisoma vibaya πππ jamaa alitoa tena kwa one night ila alivofika usiku akaona kumbe vyakawaida ikabid mwambie nenda kwenu ππ huna maajabu
@80thsection Kesi ya kitambo inakaribia hadi kuisha now ndo inaanza kupewa headline nimeona hadi @fbuyobe kuna mmojawapo wa hao askari watu wanawatuhumu ndo wanaoteka akawa anawapa angalizo na ni kweli Rasta Majid na Stella wako mahabusu now na jana we were defending them in court
@zeyner__ Alafu mahakama Sasa inabid iwe na spidi kWa kesi zote sio hii maana imeisha haraka sana ππβ¦M70 imetumika hata kesi mwezi haijaisha ngoja tuone msomi ataprove vip labda kweli ametumia ππ