@kenyasgossips Sasa hawa wangetoboa kuishi aje huku kenya na they totally don't look like us physically? Alafu wakachagua kwa waluhya๐... heri wangeenda kwa woria.
@kijana_misa Makosa kidogo umefanya bro... Catholics we don't argue, defend or discuss with critics concerning our doctrines. We simply just say "Ni sawa" and move on to other things. Hiyo masaa hatunanga hataaa...
@mugaa_eric@africaupdates Huwa mnatuona washenzi sana huku nje... 54% ndo mtuambie turudishe hii gava ndo wamalize projects kama hii? Watu si wajinga buana!
@KE_MrBlack Religion says he died for our sins for it to thrive. Logic dictates that he was murdered. Most religious fanatics are never that logical...
@ledamalekina Ata hiyo mbili ni mingii, moja should be enough na bado ikuwe rahisi kuwatoa hapo katikati ya hiyo moja... lakini mtu akikuangalia anaeza sema uko na akili kumbe huna bro!