Your cargo. Your car. Your peace of mind. ☺️
From shipping & customs to final delivery, we handle the hard part.🌍🚢
Dreaming of owning that car but unsure of the process? Come to #MZADAFreightCoLtd where dreams are turned into deliveries.✨
📞 +255 753 594 683| +255 773 534 683
Frame 1: MUM BA.Ed class of 2013
Frame: Umbwe Boys High School class of 2004
Frame: Umbwe Boys High School classes of 2003 & 2004
Brothers reunited Alhamdulillah
Fursa ya ajira.
Anahitajika kijana wa kiume, Muisl, mwenye Shahada ya biashara ambaye anaweza Fanya kazi kama CORPORATE OFFICER (kwenye Taasisi ya Kiislam).
Kituo: Dar es Salaam
Mwenye sifa nipigie 0753594683
Baada ya siku 7 kisheria na kihistoria:-
- Anyolewe nywele, zipimwe kwa sonara na kutolewa Sadaka kwa thaman ya dhahabu uzito huo.
- Apewe jina zuri lenye maana nzuri ikiwemo miongoni mwa majina ya Allah
- Atahiriwe
- Achinjiwe Aqeeqa (mvulana- mbuzi wawili & Msichana mbuzi 1)