Me sio nabii ila wagombea wote watakao toa RUSHWA na kwenda kwa WAGANGA & WACHAWI kwa lengo la kushinda uchaguzi na kutoa kafaraโHawatashinda, watapigwa na magonjwa ya ajabu, na watakufa kwa mfuatano.
Na viongozi wa Kiroho waliojipatia fedha na mali zilizobeba UDHALIMU kitawaramba. Huduma zao zitayumba na kufa.
Save this post kwa matumizi ya baadae