Katika miaka yangu 8 ya utafutaji baada ya BABAANGU kufariki kuna masomo mengi ya maisha nimejifunza nataka nikupe moja ya somo kwako kijana ambae una ndoto zako kwenye UTAFUTAJI.
Mimi nimeanza kujitafutia nikiwa na miaka 19-20 pale makumbusho kama winga wa kuuza SIMU. Somo la kwanza ni kwenye Utafutaji wako siku zote wapo watu unaowaangalia kama Target ya mafanikio.
Hao watu wasiwe kipimo cha mwisho unaweza kufikia walipo na ukawa mbali zaidi yao. Hili mimi nimeliona kwenye maisha yangu kabisa—wapo watu walikuwa ndio target yangu kabisa ila nilipo sasa na wao naona kabisa nilikosea kujiwekea kipimo cha mafanikio-japo ndio Maisha ni hatua.
Kitu mimi napambana nacho saizi ni kutafuta bila kuchoka na hata ikitokea madogo ambao wananiangalia kama kioo siku wakifikia nilipo basi niwe bado naendelea kufanya kwa ukubwa ambao wao bado wataendelea kuchukua darasa kutoka kwangu.
TUTAKUWEPO🫵🏻😎
Mi ninachojua nina wanangu kibao Islamic afu wamenyooka sana haiwezi tokea nikazinguana nao kisa Kuna wala Vitimoto wanachochea tuonekane sisi sio wamoja kisa Dini.
Wana wenyewe tukiaa hata mwezi story za Dini hazifiki mara 3.
Tuna maisha nje ya Dini HATUIINGII HUO MTEGO.
1. VIJANA kutoka nje ya nchi walikuja kufanya FUJO.
2.VIJANA walifuata MKUMBO.
3.VIJANA walilipwa waandamane.
Kwa muda wa WEEK 3 tumesikia kauli tatu kutoka kwa mtu mmoja akielezea TUKIO MOJA. Huyu kila akisimama anakuja na NGONJERA MPYA.
Anakwepa UHALISIA kwamba Vijana walioambiwa ni Taifa la kesho ndio hawa wanasema hapana “VIJANA NI TAIFA LA LEO SIO KESHO TENA”.
Watu sio wajinga wee endelea Kuzungusha Sketi #D9 inakuja.
Tumeanza COUNT DOWN YETU WANANGU #D9
Safari hii tunaenda Kuandamana kwa amani na kubeba MABANGO nchi nzima. Na jumbe zetu zinafahamika.
1. KATIBA MPYA
2. UCHAGUZI UFUTWE.
3. HAKI ZA NDUGU ZETU WA #MO29
Ongeza ujumbe wako hapo kwenye Comment watawala wajue tunaandamama tukiwa na akili timamu na sio MIKUMBO kama walivyosema.
Repost 500
#D9 #MO29
#TUTAKUWEPO🫵😎
@MariaSTsehai@SADC_News@_AfricanUnion Shetani alihama jehanamu. Akachukua umbo la mwanamke. Akapiga kambi pale Tanzania @ikulumawasliano . Akavaa hijab. Ameua vijana wengi huko na kuzika miili yao mahali pasipojulikana. Anayeshabikia huyu shetani mwanamke, ni pepo chafu
BREAKING NEWS
Tanzania Gen Zs will hold demonstration on 9th Dec
PROTEST against MAMA Samia Genocide
Kenyan Gen Zs should also hold protest the same day in solidarity
FREE AFRICA