“Baadhi ya watu, ukiangalia yale ambayo tayari tumeambiwa kupitia baadhi ya vyombo vya habari barani Afrika na sehemu nyingine duniani, wanasema kwamba Rais wa CAF anapaswa kuanza kufikiria mpango B na mpango C, na kuiondoa AFCON kutoka Tanzania, Kenya na Uganda. Hilo halitatokea.” - Dkt. Patrice Motsepe, Rais wa CAF
Rais Samia Suluhu Hassan amepokea Salamu Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping iliyokabidhiwa kwake na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian, Ikulu ya Tunguu, Zanzibar.
Zinedine Zidane ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Ufaransa, akichukua nafasi ya Didier Deschamps aliyeifundisha timu hiyo kwa miaka 14.
Akiwa mchezaji, Zidane aliongoza Ufaransa kutwaa Kombe la Dunia mwaka 1998.
Usikae na kuwahadithia watu kuwa mnapendana na unaimani na mapenzi yenu,kaa ukiamini una mpenda na unaimani na upendo wako kwake, kumbuka maendeleo huitaji mabadiliko.
#MuhezaTanga#mtotowamamantilie
Wakati ukiamini mapenzi ndii kitu mabachp kinakupa amani na furaha,kuna kijana ambaye anatafuta hela kwa kasi ili aweze kuifanya familia yake wale milo mitatu kwa furaha
#muhezatanga#mtotowamamantilie
Ukiamua kuwa na marafiki,chagua marafiki watatu (mama,baba,mke/mume),wa kwanza atakaejua thamani yako,wa pili atakaejua hitaji lako,watatu atakae kupenda.
#muhezatanga#mtotowamamantilie
Sio kila maamuzi yanaweza kuleta mabadiliko ,wakati mwingne maamuzi hufanya kutoendelea na kile unachotamani.
Kijana unafanya maamuzi ya kumpambania binti ambaye hujui mbeleni atachukua maamuzi gani katika hayo mahusiano unayoyaamini.
STUKA KIJANA
HAWANA MAPENZI
Ni kosa gani lisilo sameheka ,kosa ni kurudia kosa zaidi ya mara mbili hata uumbaji wa mwenyezi mungu alituumba lakini hakutupatia ukamilifu ili kila mmoja wetu aweze tambua kuwa tunakasoro na mapungufu ,ikitokea nafasi ntaomba tena msamaha
#amsorryalways
Mkazi wa Kijiji cha Mwamagunguli mkoani Shinyanga, Makoye Mayala (45) amejinyonga hadi kufa baada ya kumjeruhi kwa kisu mtoto wake, Anna Makoye (06) mwanafunzi wa shule ya Msingi Mwamagunguli.
Chanzo cha kumjeruhi mtoto kinadaiwa kuwa ni ugomvi wa kifamilia, ambapo baada ya mkewe kukimbia, ndipo Makoye aliporudi ndani na kumjeruhi mwanae shingoni na kupoteza fahamu, na ndipo alipoamua kujinyonga akidhani amemuua mwanaye.