Mtu akikwambia "flani ameniambia umenisengenya" maana yake anaamini kuwa unaweza kumsengenya. Na kama ni mtu anayedai kuwa anakuamini, na anajua kuwa "usiri wako unakuweka hai" ni wazi anajua kamwe "usiri na kusengenya haviendani." Ni dhahiri sio tu hakuamini bali anakudharau.
Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wamepanda lililokuwa likitokea kijiji cha Lumalu kata ya Upolo Wilaya ya Nyasa kuanguka kwenye mteremko wa Chunya wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, kisha kuwaka moto.
Waliofariki ni walimu wanne wa Shule ya Msingi Lumalu, mfamasia mmoja na dereva wa gari hilo.
Katibu Tawala Wilaya ya Nyasa amewaomba ndugu wa marehemu waliofariki kwenye ajali hiyo wafike katika hospitali ya Mbinga mkoani humo kupima DNA kwa ajili ya utambuzi wa miili hiyo.
Kipindi kama hiki 2019/2020 nilikuwa jela.
Faraja ilikuwa ndugu na marafiki wanaotutembelea.
Mawakili wengi sana walikuja kuniona kila wiki.
Wakili wangu Jebra: 'bingwa, leo sina la maana, ila nimekuja tupige story.'
Man did that to me & lots of others.
Respect the OG!