Lilianza kama tukio la kunasa kwa ng'ombe machungani.
Sometimes In February 2015
AMBONI, TANGA
Mchungaji wa ng'ombe hakujua kama "Martial law" ilishatangazwa eneo lile kuwa haikutakiwa kuonekana kiumbe chochote chenye miguu miwili kinachotakiwa kutembea ifikapo saa 12 jioni