Mwanaume.
Mwanamke anapofikia hatua ya kukuacha huwa ANASAHAU kumbukumbu ya ulichomfanyia.
Kwa lugha rahisi, mwanamke anaekuacha ana-DELETE chochote ulichomfanyia.
Kumpa pesa na kumtimizia kila kitu, isiwe kigezo cha wewe kuwa na EXPECTATIONS nae 100%.
Muhimu ni KUWEKEZA zaidi kwako.
@INFLUENCERjr Maisha yamenifunza ukweli mchungu ambao napaswa kuukubali
1. Dunia itaendelea bila wewe
2. Watu watakuhukumu haijalishi ufanye nini.
3. Maisha hayana haki.
4. Sio kila mtu atakupenda.
5. Watu wengi ni wabinafsi.
6. Pesa ni muhimu zaidi ya unavyofikiria.