@mukhy__@MickyJnr__ Unajitoa ufahamu sio? Hii gemu mashinda 5 haujui Kwanini Manula hatumuamini tena na kwani nini Enonga tulifukuza ๐ utopolo kazi zenu ni kujiweka mwiko nyuma tu
@Geoffrey87Lea Kama sio muhimu, kwann Simba walifanya hvyo 3 days before. Na kwanini bodi iandike issue ya taarifa ambayo haina ulazima wao kupewa na Simba tena hata kabla ya kutaja issue ya mabaunsa ๐
@Geoffrey87Lea Then u get to know why mjadala umekuwa mkubwa na kuisha sio rahisi.Simba walimtaarifu kamishna ili wajue how to be facilitated kwny hyo haki. at the same time tunasema taarifa sio muhimu na sio lazima ilibidi tu wawe wamejiandaa kuwapokea Simba. Je taarifa ni muhimu au sio ๐?