Pingamizi Za Mswada Wa Fedha:
Bunge la kitaifa linatarajiwa kujadili na kupitisha mswada wa fedha wa mwaka huu kesho.
Viongozi wanaendelea kutoa semi zao huku wengi wao wakipinga mswada huo.
#NTVAdhuhuri@nicholaswambua_
Hatimaye Arejea Kutoka Misri
Lynette Makena ambaye alikuwa amerushwa korokoroni nchini Misri amerejea kwao kaunti ya Meru.
Makena alieleza yaliyomkuta ikiwemo kukaa kwa zaidi ya siku tatu bila kutia chakula mdomoni.
#NTVWikendi
Makosa Ya Tineja Ian Njoroge:
Kijana wa miaka 19 ambaye anadaiwa kumpiga afisa wa polisi eneo la Kasarani anakabiliwa na hukumu ya kifo.
Hii ni iwapo atapatikana na hatia ya wizi wa mabavu.
#NTVJioni@loftymatambo
Siasa Za Mlimani
Siasa za ‘one man, one shilling’ zaendelea
Baadhi ya Wakenya wanataka Rigathi apewe heshima
Wanamtaka Gachagua kuwaunganisha Wakenya
#NTVAdhuhuri
Kenya Asumbukia Misri
Familia moja kutoka eneo la Ruiri, Meru inapitia wakati mgumu baada ya mwanao Lynette Makena kurushwa korokoroni nchini Misri baada ya cheti chake cha usafiri kumalizika muda wake wa matumizi.
#NTVJioni@nicholaswambua_
Dua Yafunika Doa Za Ndoa Ya UDA
Maombi ya kitaifa ya kila mwaka yamefanyika leo huku vinara wa serikali wakifanya hima kuhakikisha kwamba doa za ndoa yao katika Kenya Kwanza hazionekani machoni pa umma.
#NTVJioni@FredMuitiriri
Mashua Zatua Oldonyo Sabuk
Wakaazi wa Oldonyo Sabuk wanaoishi katika mpaka wa kaunti za Machakos na Kiambu wamejipata katika hali ya mshike mshike baada ya daraja linalounganisha kaunti hizo mbili kusombwa na maji.
#NTVAdhuhuri
I’ve just added my name to an open letter written by a group of young African activists. They’re calling on leaders to take action and use all the tools they have to tackle the global economic crisis we’re facing. Will you add your name too? https://t.co/OVlIoHUZia
As Christians, we are individually called to a #vocation, but also called together. Each of us shines like a star in the heart of God, but we are called to form constellations that can guide the path of humanity.
Let's remember the forgiveness and peace we have received from Jesus. Let's put the memory of God’s warm embrace before the memory of our own mistakes and failings. In this way, we will grow in joy. For nothing will ever is ever the same for anyone who has experienced God’s joy!
From Berlin to Beirut, Paris, Rome and Washington D.C., people around the world are expressing their anger over Russia's attack on Ukraine and pleading with world leaders to stop it. CNN's Lynda Kinkade reports https://t.co/9xRNtEWURV
Russia’s Ministry of Defense has published footage of several Ukrainian Armed Forces personnel laying down their arms amid the ongoing crisis in the country.
#Lent is a journey that involves our whole life, our entire being. It is a time to reconsider the path we are taking, to find the route that leads us home and to rediscover our profound relationship with God, on whom everything depends.