📸Moja ya picha maarufu za Marekani ikimuonesha Florence Owens Thompson, mama wa watoto saba, akiwa na miaka 32, huko Nipono, California, Machi 1936, akitafuta kazi au msaada wa kijamii ili kuitunza familia yake.
Mzee alipeleka simu yake kwa fundi ikatengenezwe, Fundi akamwambia Mzee mbona simu yako hii sio mbovu kabisa, Mzee akamuuliza Fundi kama sio mbovu kwa nini sasa watoto wangu Hawanipigii?
Karibu Tanzania Captain lbrahim Traore, karibu ujifinze mengi kutoka kwa Profesa wa Siasa Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Mkutano wa Afrika wa Nishati Safi.
Translate post
“Usichukue muda mwingi kulinda Cheo, Chukua muda mwingi kutoa matokeo kwenye kazi yako. Cheo hakilindwi. Kama kilivyokuja bila wewe kukipambania kitaondoka siku moja utake au usitake na atakuja mtu mwingine kwa sababu na wewe ulikuta mtu mwingine”- Dkt. Doto Biteko
“Nimepitia kipindi kigumu sana, lakini Mungu humpatia mtu mtihani ambao anajua anaweza kuushinda. Leo, kwa nguvu za Mungu, naweza kusema nimefanikiwa kushinda,”- Dkt. Nawanda
“Naungana na wana CCM wenzangu katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, Mkoa wa Dar es salam nami nitakuwepo, katika uhamasishaji wa kwenda kukichagua Chama Cha Mapinduzi Ifikapo 27 Nov, 2024”- Ndg. Erick Follo
“Usimtafsiri mtu kutokana na maneno ya watu, ishi nae kwanza ujionee, yote ni kwa sababu binadamu huishi maisha tofauti kulingana na watu tofauti”- B.W.M
“Basi, mimi nasisitiza kuwa mtu ni lazima afaidi raha, kwa kuwa hapa duniani hakuna kilicho kizuri zaidi kuliko kula na kunywa na kujifurahisha. Hayo ndio awezayo kufanya mtu anaposhughulika na kazi katika muda wa maisha yake aliyojaliwa na Mungu duniani”;- Mhubiri 8:15
“Sisi sote tunataka furaha. Kwa hivyo uwe na shukrani unapo barikiwa. Kuwa mvumilivu katika kukabiliana na majaaribu. tubu na kuomba msamaha wakati wa dhambi. Fanya haya mara kwa mara na uangalie maisha yanabadilika”- Abdulrahman Kassim✍️
“Siri moja wapo ya mafanikio ushinde ubaya kwa wema basi, akija mtu anakusema maneno mabaya usihangaike na maneno yake fanya kinacho kuhusu, mengine muachie Mungu”- Dkt. Doto Biteko, NWM & WN
“Siri Moja Wapo Ya Mafanikio Ushinde Ubaya Kwa Wema Basi, Akija Mtu Anakusema Maneno Mabaya Usihangaike Na Maneno Yake Fanya Kinacho Kuhusu, Mengine Muachie Mungu”- Dkt. Doto Biteko. Naibu Waziri Mkuu Na Waziri Wa Nishati Nchini Tanzania
..“Sijibu nageuza chura masikio sisikii kabisa, ninachotaka mageuzi ya kiuchumi ndani ya nchi hii sitaki kingine sasa kwenye mageuzi haya tutakanyaga nguru wa mshihiri, anayetaka kunikera na mimi anikanyagie uchumi wangu”- Rais Samia #RaisAnapokeaGawio2024
“Na mimi kazi mliyonipa nasimama na ninaifanya na mnashuhudia matusi ninayotukanwa mpuuzi, hana maana, huyu Bibi ana hivi, mambo tele lakini najigeuza chura, kwahiyo nyingi zinapigwa kelele wakiona haujibu sasa tulitukane litajibu ama halijibu”- Rais Samia #RaisAnapokeaGawio2024