Taarifa ya Dw swahili iliyosoma na Bakari Ubena Dw Swahili wamemtaja Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidhi kama Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa asiye Rasmi na Mtu aliyenyuma ya Mateso ya Mauaji ya Waandamanaji na Msuka mikakati nyuma ya Mama yake
Abdul Anatuhumiwa kuwa ndiye Msuka Mikakati ya kuwaandama waandamanaji sikiliza Video 👇
Kwamba walivyosema watu wasitoke nje ili vyombo vya ulinzi vifanye kazi maalumu, kazi maalumu yenyewe ilikuwa ndiyo hii?.
Kuwafuata vijana ndani ya nyumba zao kisha kuwatesa na kuwaua?. Moyo wangu una maumivu mazito...moyo wangu una vuja damu!
Maduka mengi makubwa ya Uingereza kama Amazon, eBay, John Lewis na mengineyo hayatumi bidhaa moja kwa moja hadi Dar es Salaam na Zanzibar.
Usijali! Kupitia kwangu, utapata anuani yako binafsi ya Uingereza ya kuagizia bidhaa zako. Baada ya hapo, nitakusafirishia kwa uhakika hadi Tanzania, iwe ni Dar es Salaam au Zanzibar.
Agiza kwa urahisi kutoka Uingereza mimi nitahakikisha unazipokea nyumbani au kwenye vituo vyetu vya kuchukulia mizigo.
#UZI
💨ZIMA HIZI SETTING 7 MARA TU UNAPONUNUA SIMU MPYA.
Settings 7 Unazopaswa Kuzima Mara Tu Baada ya Kununua Simu Mpya
Kulinda betri, data zako, na faragha.
shuka🧵👇
Kindly repost 🔄
@fumbokhanJr Waliokosa hoja hawastahiki kujibiwa, ni wajinga wa nafsi, dini ni imani na imani inaleta utulivu wa nafsi, angalia wasiomjua Mungu tabia zao na mine mienendo yao ni ya kijinga kabisa na ustaarabu hawana hata chembe