After kununua Probox nextday tuliamkia nyandarua kwa kina Mwaniki ndio mama yake aibariki imletee baraka na mafanikio,Akaitemea mate na akaiombea kitu 30minutes,Kurudi jioni pale kwa jam ya waiyaki way chokoraa wakapita na sidemirror buana,hapo ndio niliwacha mambo ya maombi mimi