Mashallah! Naomba RT 2,000 kwa warembo hawa walioshikamana na Kitabu cha M/Mungu. Najua ningeomba RT ya Milioni 1 @moodewji msingenipa, je, RT ya hii picha yenye ujumbe mzito na wenye manufaa nitakosa kweli?
Watanzania kwa unafiki na roho mbaya tunatumia nguvu kupinga hoja ya Tanzania kuingia uchumi wa kati utafikiri nchi imejitangaza yenyewe. Anayepinga hilo aenda kwa mashirika ya kimataifa ya fedha awakatalie basi. Benki ya dunia imetangaza wewe unaleta siasa. Si zina leak sehemu
safari iliyotakiwa kutumia masaa 18?, Je ni Nani alikuwa anaiongoza ndege hiyo wakati hadi rubani alibaki mifupa tupu? Hakuna majibu hadi leo.
Written by @KaribuSanaMjini
~Shukrani sana kwa kusoma Uzi huu, tafadhali RT ufikie na wengine.
Kwa Viatu vikali mcheki @BarakaSaimon3
Huyu anaitwa Martin Cooper alizaliwa December 26 mwaka 1928 huko schaumburg Chicago huko Marekan elimu yake ni PhD in electricitical engineering anafahamika kama baba wa simu za mkononi
๐UZI
#UZI
๐จ TEKNOLOJIA YA MAREKANI
โด Wanaitwa Superpower, Big boy, Big data, iPhone 11 Pro
โด Ilibainika wanafuatilia mawasiliano ya nchi zote duniani, Nakukumbusha Tanzania nayo ni nchi.
โด FBI na NSA ni vitengo hatari duniani Urussi yavivulia kofia.
#FLowMaTaTa tiririka nazo ๐
โด Japo Iran amewekewa vikwazo Jana nimeona meli zake zikiwa zinasafirisha mafuta kuelekea Venezuela ni karibu na Marekani tuh.
โด Meli hizo zimezungukwa na Wanajeshi wa Iran ili kujilinda dhidi ya jeshi la USA. @Adambrv
MWISHO wa part 1
Naomba RT yako ndugu ๐
Wadau wote mnaonifolo naona na ninatambua thamani mnayonionesha kwa kunifolo bila kuomba lakini mniwie radhi sana nimefikia kiwango cha mwisho cha kufolo watu na hivyo nimezuiliwa mpaka kiwango cha walionifolo kitakapolingana na niliowafolo.
Asante sana.
@JifunzeSwahili