@RiyanHassan5@MarekaMalili Kibongobongo,Mtu kuwa opposition ni Taji la miiiba! Utanyanyapaliwa kwenye fursa flani flani! So Mtu Mmoja kuondoka Opposition sio jambo la kufurahia!
@PamBelinda@HecheJohn@YouTube Ukitaka kujua Mtu ni Mjinga! Mpe nafasi! Heche yeye ndo Mkuu wa Chama nyakati Hizi, instead ya kutafuta majibu! Ana post mipasho!
@Ibnulmansour Sasa in your 40s au 50s Si unaelekea Uzeeni! Utapata Binti Kweli,pili vipi kuhusu malezi,tatu utakuthirisha wingi wa Watoto Kweli? WAMEVURUGWA