Kumshambulia Msigwa kwa kuikimbia CCM kumetatuaje tatizo la Oktoba 29, 2025?
Je, kumjadili Msigwa mchana na usiku kumerudisha imani ya wafadhili waliogoma kutoa fedha?
Je, kumlaumu Msigwa kumeshusha bei ya mafuta na gharama za maisha?
Je, kumshambulia Msigwa kumezuia au kupunguza ufisadi unaolalamikiwa na wananchi?
Je, kumerudisha ajira, kuimarisha uchumi na kurejesha heshima ya Tanzania kimataifa?
Hakuna taifa linalotatua matatizo makubwa kwa kutafuta adui wa kisiasa wa kumlaumu. Matatizo ya taifa yanahitaji majibu ya sera, uwajibikaji na uongozi, si propaganda.
Badala ya kujadili kwa nini mtu alihama chama, swali muhimu zaidi ni:
Nini kifanyike kurejesha imani ya wawekezaji na wafadhili?
Nini kifanyike kupunguza gharama za maisha?
Nini kifanyike kupambana na ufisadi?
Nini kifanyike kuponya majeraha ya kisiasa na kujenga maridhiano ya kitaifa?
Historia haikumbuki sana waliotumia muda mwingi kuwashambulia watu; historia huwakumbuka waliotatua matatizo ya watu.
Matatizo ya Oktoba 29, 2025 na athari zake kwa taswira ya Tanzania na uhusiano na washirika wa maendeleo yameendelea kujadiliwa kimataifa.
Nimeona maoni mbalimbali kutoka kwa Ali Hapi na Kenani Kihongosi. Kila mmoja ana haki ya kutoa tathmini yake kuhusu mwenendo wa siasa nchini .Ali Hapi anamuona Kenan hatoshi kwenye uenezi , ndio maana anaji profile kama na yeye ni mwenezi wa chama, huku Kenani anapambana kupata uhalali japo hana hoja wala ushawishi . Wote wawili wameruka stage waongeze literature kidogo .
Hata hivyo, sioni sababu ya kuingia katika mabishano yao ya ndani.
Kinachonishangaza ni kuona jitihada zao za kutafuta uhalali wa kisiasa na kujenga ushawishi kwa kutumia majina ya viongozi wa CHADEMA ili wasikile.
Ukweli ni kwamba umaarufu na relevance ya kisiasa haijengwi kwa kutegemea migongo ya wengine, bali kwa hoja, uwezo na mchango wa mtu binafsi.
Mimi sitakuwa sehemu ya mabishano hayo. Sitawajibu wala kuingia katika mvutano usionihusu. Waendelee kupambana na changamoto zao na wajijenge kwa nguvu ya hoja zao wenyewe. Nguvu ya kisiasa haipatikani kwa kutafuta kivuli cha wapinzani, bali kwa uwezo wa kusimama kwa miguu yako mwenyewe.
Kwa upande wangu, nitaendelea kujikita katika masuala yanayowagusa wananchi na kujenga siasa za hoja, si siasa za majibizano binafsi.
MAANDAMANO YA AMANI JuLY 7 2026….. Maandamano MAKUBWA zaid ya October 29…….
WAUWAJI HAWATOJARIBU KUUA TENA MAANA WAKO SEHEMU MBAYA- WANAJARIBU KU-PROVE DUNIANI WAO SIO WAUWAJI HATA KUZIMA INTERNET HAWATOWEZA. NA WAKIJARIBU TENA USHETANI WA OCTOBER 29, this time dunia itawabeba juu juu
Watanzania tokeni tukomboe nchi!!!!!!
Anandika Rev Peter simon Msigwa
Kati ya mambo yaliyomjengea heshima kubwa Rais Samia Suluhu Hassan ndani na nje ya Tanzania ilikuwa falsafa ya 4Rs (Maridhiano, Ustahimilivu, Mageuzi na Kujenga Upya). Hilo ndilo lilikuwa eneo lake lenye nguvu zaidi kisiasa na kidiplomasia. Lilimjengea taswira ya kiongozi mwenye utayari wa kusikiliza, kuponya majeraha ya kisiasa na kufungua zaidi nafasi za demokrasia. Kwa kiasi kikubwa, 4Rs zilifunika madhaifu mengi na kujenga uaminifu mkubwa ndani na kimataifa.
Hata hivyo, kuendelea kuwepo kwa mvutano wa kisiasa, kuwekwa kizuizini kwa Tundu Lissu kwa mashtaka yanayomkabili, kuzuiwa kwa shughuli za kisiasa za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa kipindi kirefu, pamoja na matukio ya vurugu na mauaji yaliyoripotiwa tarehe 29/10/2025, kumeibua maswali kuhusu utekelezaji halisi wa roho ya 4Rs na kumeathiri taswira ya uongozi wake kwa sehemu ya wananchi na jumuiya ya kimataifa.
Iwapo kulikuwa na washauri waliomshauri aachane na roho ya 4Rs au kuipunguza kwa kuamini kwamba nguvu za dola na udhibiti wa kisiasa vingetoa matokeo bora zaidi, basi inawezekana ushauri huo ulikuwa na gharama kubwa kisiasa. Kwa sababu 4Rs zilikuwa zimekuwa si kauli mbiu tu, bali mtaji wa kisiasa na wa kidiplomasia uliomtofautisha Rais Samia na kumjengea heshima kubwa.
Historia inaonyesha kuwa viongozi wengi hawapotezi heshima zao kwa sababu ya udhaifu wao pekee, bali kwa sababu ya kuachana na yale yaliyowafanya waaminike. Kama kweli kulikuwa na washauri waliomsukuma kuondoka kwenye njia ya maridhiano, mageuzi na kujenga upya, basi hao ndio waliomnyang’anya silaha yake kubwa zaidi ya kisiasa. Kwa sababu nguvu ya Rais Samia haikuwa katika mamlaka ya dola peke yake, bali katika imani ambayo Watanzania na dunia walikuwa wameanza kuiweka katika falsafa ya 4Rs.
Mara nyingi, viongozi hawaharibiwi na maadui zao, bali na washauri wanaowafanya waamini kwamba heshima inayotokana na maridhiano inaweza kubadilishwa na hofu au udhibiti. Historia imeonyesha mara nyingi kwamba hofu inaweza kuleta utiifu wa muda, lakini maridhiano na uaminifu hujenga urithi wa kudumu.
Nyie @ITVTZ acheni kuzingua 🚮
Dialogue siyo maridhiano ni mazungumzo au majadiliano!
To discuss reconciliation efforts - yaani kujadili JUHUDI ZA MARIDHIANO!
Ila wanachotaja hapa ni MAZUNGUMZO!
Mnafanya spinning za CCM kitoto sana!
Mbona hanjaandika kuwa huu muswada umeita uchaguzi wa Oktoba kuwa ni haramu na batili?
Hizi media zinatakiwa tuzipuuze kwa ujinga wao kama huu!
Eniwei #SamiaMustGo #TutaelewanaTu
Mwambie Happiness Ally aje hapa aseme haya mabilioni ya pesa ambayo maccm walipewa yalikuwa ya nini au ndo pesa ambazo walitumia kununua silaha ambazo walitumia kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu kumi siku ayo Oktoba 29?
Amekaza kusema kuhusu million 900 ambayo CHADEMA imepewa na DIPD ya Dernmark wakati wao wamepokea mabilioni ya pesa au alidhani ni siri hatujui?
‼️🚨BREAKING NEWS EUROPEAN PARLIAMENT ADOPTS RESOLUTION TO SUSPEND FINANCING TO TANZANIA‼️
The European Parliament adopted a resolution, by a show of hands, on the draft Commission implementing decision on the financing of the annual action plan in favour of the United Republic of Tanzania for 2026.
In the text adopted in plenary today, MEPs note the Commission's decision in November 2025 to suspend the process for the adoption of its decision on financing for Tanzania in the wake of grave concerns expressed by MEPs, particular with regard to the conduct of Tanzania's fraudulent elections in October 2025 and the violent government suppression of demonstrations that followed, which resulted in the death of over 400 people, and hundreds arrested on charges of treason.
Thank you @Europarl_EN 🙏🏽 We the People are so grateful for your tireless efforts to ensure we get justice and this illegitimate govt is held accountable!
Tanzania amka ✊🏽🔥
Leo ndo wamepata jibu la Who are You hawa mafedhuli!
Na tutaendelea kubana hadi ipatikane HAKI hatutakubali!
#FreeTunduLissu #SamiaMustGo
🇪🇺 Bunge la Ulaya lapinga mpango wa kutoa msaada wa Euro milioni 156 (takribani TZS bilioni 484) kwa Tanzania mwaka 2026.
“Who are you” wanaendelea kujitambulisha wao ni wakina nani.
Mwaga moto mwingi wanangu kama madragon.🔥🔥🔥
REPOST 200
Leo ni siku njema kwa Watanzania.
@SenTedCruz@SenatorShaheen@SFRCdems@SenateForeign
Thank you so much for continuing to stand with the people of Tanzania.
The illegitimate government of Tanzania is trying to persuade America to look the other way by offering business deals. We are grateful that America is choosing to stand on the right side of history instead.
Watanzania Wamarekani bado wanasimama nyuma yetu ili tupate accountability ya mauaji ya October 29 ila ni lazma sisi wenyewe tuendelee kupambana on the ground. No one is coming to save us, we have to save ourselves. Lazma tuipiganie nchi yetu mpaka ipate haki.
🚨 18 June all eyes on Brussels ‼️
At the European Parliament, voting on the motion for a resolution regarding Tanzania will take place between 12:00 and 14:00 Brussels time.
Leo pa kikucha tunahamia Brussels kufuatilia kura ya Bunge kupitisha azimio ya kuzuia msaada kwa serikali haramu ya wauaji!
Mbona #TutaelewanaTu mwaka huu?
🔥‼️KAMATI YA MAMBO YA NJE YA SENATE YAPITISHA MUSWADA KUHUSU TANZANIA‼️
Amkenii! Tanzania amka! Waamsheni madhulmat wakeshe kuumiza kichwa!
Kamati ya Senate imepitisha leo muswada namba 4577 ya kupitia upya mahusiano ya Tanzania na Marekani!
Sasa rasmi inaenda kupigiwa kura na bunge la senate kuelekea kuifanya sheria rasmi!
Kumbukeni muswada huu umependekezwa na wazito wa vyama vyote viwili vikuu vya siasa yaani Democrat na Republican ambao ni @SenatorShaheen@SenTedCruz
Siasa za wenzetu hazina kona kona - katika suala hili wamesimama pamoja so hata ktk kikao cha pamoja cha Senate muswada huu utasimamiwa na wahusika hawa kuhakikisha inapita!
Kombo anazurura tu huko na lobbyist waliolipwa mabilioni ya kodi zetu ila wameshindwa kuzuia huu muswada
Mungu wetu ni mwema sana 🙏🏽
Tusiogope tumeshashinda - sema haya madhulmat mafedhuli hawakubali ukweli
Tuseme AMEN 🙏🏽