Did you guys know that the judges that issued international arrest warrants for Netanyahu were sanctioned by the United States and as a result are completely unable to access their bank accounts or do any banking?
But don’t you dare bring it up you raging antisemite.
Left: trapped in addiction, daily shooting cocktails of heroin, fentanyl & cocaine, homeless and hopeless.
Right: 663 days sober, on my first vacation with my parents.
My dad got me off the streets on July 21, 2024. I walked into detox at just 49kg (108 lbs) nothing but skin and bones. Almost two years later, I’ve gained nearly 40kg (88 lbs). It might be a little much… but it’s a whole lot better than where I came from.
For more than half my life, I hated myself. I hated my life. I wished I could be someone else. I couldn’t understand how other people actually loved being alive while I was just trying to survive.
But today… I’m happy. I’m at peace. I love myself.. not in a selfish way, but in a healthy, real way. And for the first time, I truly love life. Sobriety gave me everything I was searching for in the wrong places. I used to numb my feelings just to get through the day. Now I feel everything.. the highs and the lows, and that’s where real growth happens. That’s where real change begins.
If I can come back from that place… so can you.
Wadau wengi ambao ni washindani wa CHADEMA wanawaona Heche na Lissu kuwa wanaharakati uchwara na sio wanasiasa kamili. Ndio hoja iliyofanya CHAUMMA kuibuliwa, ili kuonesha mfano wa chama kinachoendeshwa na wanasiasa kamili.
Kwa akili ndogo tu, Buyobe alipewa misheni ya kwenda kuwachoma wakosoaji walioko Nairobi,
Kwa hyo ilibidi azuge ametekwa kwanza kisha kuachiliwa then aende Nairobi kama mhanga ambapo ingerahisisha yeye kuaminika zaidi na kuweza kuwakusanya kina Sativa.
He is an Old rat not ñew.
🚨🇫🇷🇵🇸🇮🇱Jean-Luc Mélenchon, a candidate for the French presidency:
"The ongoing genocide in Gaza must cease. The colonization must end. The EU-Israel association agreement must be suspended. War criminals must be tried."
‼️UKWELI KUHUSU BUYOBE, KWENYE SAKATA LA KUTEKWA MSHABAHA.‼️
Shuka na Thread hadi mwisho👇
Nakumbuka January 15, 2026 Buyobe alinitumia namba yake DM akasema nimchek WhatsApp kuna issue tuongee, nilimchek tukaongea.
Alinielezea jinsi alivotekwa na kikosi cha Mafwele, walimvotesa n.k pia alishukuru kwa jinsi tulivompazia sauti.
Katika maongezi hayo aliniambia kwamba pamoja na kwamba ameachiwa kwa dhamana bado watekaji wa Mafwele wanaendelea kumfuatilia hivyo maisha yake yapo hatarini , nilimwambia achukue tahadhari maana hao watu hawana masihara, akasema anafikiria kuondoka nchini, nikamwambia ni wazo zuri, akaniambia kama kuna Taasisi yoyote ambayo naijua inasaidia watu ambao wanachangamoto kama yake nimuunganishe nayo, nikamwambia hakuna Taasisi yoyote ambayo naijua so tukaishia hapo.
Baada ya siku kadhaa alinipigia simu akaniambia, kwamba yupo mahali nilipo anaomba tuonane, tusalmiane na kufahamiana maana hatujawai kuonana zaidi ya humu mitandaoni, nikamwambia kwasasa siwezi kuonana nae kwasababu za kiusalama, nikamwambia kukiwa shwari nitamtafuta mimi mwenyewe, tukaishia hapo.
Baada ya hapo alimpigia simu @Twaha_Mwaipaya akamuomba waonane, Twaha alinipigia simu kuniuliza kama namfahamu, nilimjibu Mwaipaya kwamba simfahamu zaidi ya kumuona online hivyo Mwaipaya na yeye akamkwepa badae akampigia simu @Sativa255 kumuomba waonane.
Baada ya issue ya Mshabaha kutekwa ndo nikajua kwamba kumbe wakati anawasiliana na mimi kuniambia habari za yeye kuondoka nchini kuna mtu mwingine ambae alimshirikisha huyo mtu ndo alimuunganisha na @lifeofmshaba ili amsaidie kutoka nchini kwasababu alisema vijana wa Mafwele walikuwa bado wanamuwinda.
Alifika Nairobi akapokelewa na @lifeofmshaba na kupelekwa mahali pa kuishi, muda wote alikuwa akidai kwamba anaumwa shingo, kichwa na miguu lakini pia alimwambia Mshabaha vitisho vya Mafwele kusema kwamba atamfira + kuonana na watekaji live ni vitu vilimuumiza sana kisaikolojia hivyo alitafutiwa Mwanasaikolojia lakin alipoambiwa aende Hospital kufanya checkup ili wajue Polisi wamemuumiza kwa kiwango gani ili apatiwe matibabu alikataa.
Muda wote wakati Buyobe yupo Nairobi. Mshabaha alikuwa anakwenda kwake kumjulia hali kutokana na madai ya changamoto yake ya afya alokuwa nayo.
Siku ya tatu, Buyobe alimpigia simu Mshabaha akamjulisha kwamba, nyumban kwake kuna mgeni ambae na yeye kalazimika kukimbia Tanzania kwasababu Mafwele anataka kumuua akaenda mbali zaidi akamdanganya kuwa mgeni huyo ni Mwanachama wa CHADEMA wakati si Mwanachama wa Chadema.
Mshabaha alifika mahali alipokuwa anaishi Buyobe akamkutana huyo mgeni ambae Buyobe alimtambulisha kuwa anaitwa Aidan Msuya ni rafiki ake wa miaka mingi.
Buyobe alimdanganya Mshabaha kwamba Msuya alikuwa Diwani wa Chadema wa Ubungo huku akijua fika kwamba Msuya hajawai kuwa Diwani.
Mshabaha alimuliza ndani ya CHADEMA anamfahamu nani Buyobe akasema @ExMayorUbungo na Hilda Newton japo kwasasa Msuya hana mahusiano mazuri na Bony.
Ili Mshabaha amuamini zaidi Msuya, Buyobe akamdanganya Mshabaha kwamba Msuya ni boyfriend wa Hilda Newton wakati huo anajua fika kwamba mimi na Msuya hatufahamiani kabisa.
Mshabaha alimwambia kama anamahusiano na Hilda mpigie simu, Msuya akasema hapana itamletea shida, maana amekuja hajajipanga Mafwele amefunga account zake zote za Bank na kama girlfriend wake, akijua yupo Nairobi na akashindwa kumuhudumia itakuwa aibu sana kwake, haya ni maswali walikuwa wanajibu Buyobe na Msuya kwa pamoja na kwasababu walijua wanasema uwongo, wakamuomba Mshabaha asiniambie chochote so Mshabaha akakausha.
Huo ndo ukawa mwanzo wa Mshabaha kumfahamu Msuya ikawa kila akienda kumuona Buyobe anamkuta Msuya kuna wakati walikuwa wanaenda kula pamoja, Mshabaha hakuwa na wasiwasi na Msuya kwasababu ya Utambulisho ambao alipewa na Buyobe, aliamini ni mtu Genuine.
Buyobe akatoa wazo wapate gari maana na hali yake ya kiafya na usalama ni muhimu wakawa na gari, mara wazo likawa linafanyiwa kazi na Msuya.
Part 2 inaendelea hapa 👇
Mjomba hii post haisaidii ku-prove Innocence yako;
• Ni kama unafurahia allegations za Mshabaha hazija cause “Damage Kubwa”. TRANSLATION: Your COVER IS’NT BLOWN na sio ku-prove your Innocence. 🤔
• Unawa Mock Wanaharakati, na kuwagawa kwa kusema huyu hivi huyu vile. TRANSLATION: You are BLAME SHIFTING & DEFLECTING kwa kutumia point ambayo unaamini itapata support.🤷🏾♂️
• Maelezo kuhusu HUACHENG, EPO, Environmental Consultancy, Punda, Merit, NEMC, etc as elaborate as they are, na ni one of your strong suit (Kuelezea Issues), having prove kitu. Ila wanasema A PICTURE IS WORTH A HUNDRED WORDS; nikiangalia picha tu mi naona PLANTED KACHERO ameambatana na viongozi na wahusika wengine wa mradi. Hiyo Dress Code na Position yako hapo kwenye msafara. 😁🤷🏾♂️
• Kuuliza RHETORICAL QUESTION kama Wanaharakati wanatupenda kweli au la kwa kukesha mitandaoni kutupigania, na ku-claim “Sisi ndio Miradi”. TRANSLATION: Unadogosha jitihada za Activists, sababu Wanayopambania (Democracy, Utekaji, Jailing, Utawala Bora, etc) wewe sio Issue zako. Na kuwaambia watu kuwa sisi ni miradi ni kutaka Raia waache kuzingatia Wanaharakati. Kama ni mtu ambae na wewe ulikamatwa kwa kuonewa hadi ukakimbilia Kenya for yiur safety, WHY WOULD YOU DO THAT? 🤔
• Kusema Accusations za Mshabaha ni his PARANOIA na OBSESSION of you. TRANSLATION: Unataka kumaanisha kuwa Mshabaha ana PERSONAL VENDETTA against you, which is TRYING TO DISCREDIT HIS INTEGRITY & ASSASINATE HIS CHARACTER, ili watu wakupe wewe “Benefit of Doubt” na yeye wawe na “Prejudice” kwake. Unajua nani mwingine amekuwa anafanya hivyo? SERIKALI HARAMU YA CCM 🤷🏾♂️
What do you have to say from my assessment mkubwa? Btw, sijui kama umeandika vitu vingine au kama mlifanya another space maana jana ilikata na hiyo tweet ndio nimeiona hapa sijui ka kuna maelezo mengine. Na yes nimeona Tweet ya Mshabaha pia… KWAKO MWALIMU KASHASHA
The author of this fake article, Natalie Lisbona, is an Israeli asset
She’s reported discredited claims that Palestinians burned babies on Oct 7 and ripped fetuses from pregnant women, claiming to have spoken to witnesses who didn’t exist
Here’s Lisbona with her de facto boss