Naonaga vile kwenye Movie mtu akishikwa na Polisi anasomewa Haki zake, “You have the right to remain silent, you have the right to a lawyer” etc (Miranda Rights) Hivi huku mtu akishikwa na Polisi huwa unasomewa haki zako? Unaruhusiwa kumpigia mwanasheria?
Nimepitia Kurasa kadhaa za Instagram za Waandishi wezangu wa Michezo naona wanakosoa kila aina ya usajili unaofanywa kwa wachezaji Wazawa , wakati Squad inatakiwa watu 30 na watu 12 tu Wageni , uwezi sajili watu wote 30 wa Kigeni then unataka Strong NT .
Inafikilisha sana 😇
Matamanio ya Mashabiki wa Mpira wa Tanzania wanatamani Squad nzima ya vilabu vyao pendwa iwe na wachezaji wa Kigeni , ukiwambia Kapama kasaini Simba wanakasirika 😂, sasa mnataka hawa wazawa wacheze Wapi? 😂
Bodi ya Simba ina platform yake, waambie wafafanue suala la uwekezaji. Siyo kunitaka nitafute interview zako za WasafiFM. Muhimu sema tu ‘umelipa 20 bilioni ama la?’ Ningekuwa nimekuomba rushwa ama msaada ningeona aibu, lakini kukopa, kila mtu huwa anakopa, hata wewe una mikopo!