Kuishi ughaibuni, mbali na familia si jambo rahisi, mara nyingi mtu hukumbwa na upweke, changamoto ya mila na ata lugha geni.
Kwa mintiki hiyo, baadhi ya Wakenya jijini Doha, Qatar wameanzisha kundi la Green Maasai Troupe, lengo lao kuu ni kuuza Kenya nchini humo.
#Jambokenya