Branding | Sales | Digital Marketing | Fitness.
Usilalie Ujuzi wako, Kipaji au Biashara yako. Njoo tukupe mbinu za Kutangaza na Kutoboa Mtandaoni. 0752026992.
Ukitaka Kufanya Biashara Mtandaoni na kufanikiwa kupata wateja wengi online jifunze Vitu Vifuatavyo
1. Kutengenezea Maudhui (Content Marketing)
2. Matangazo ya Kulipia (Sponsored Ads)
3. Kutumia Simu Kurekodi na Kuedit Video Za Biashara Yako
Tazama jinsi kifaa hiki kinavyoweza kuboresha muonekano wa picha na video za matangazo yako na kupata wateja wengi zaidi.
Mfanya biashara usiogope kuwekeza kidogo upate matokeo makubwa kwenye biashara yako.
Bonyeza link kutazama vifaa hivyo
https://t.co/r8F3kP0S9M
SUBSCRIBE
Video Kamili, Njia rahisi ya kupata cheti cha kuzaliwa ukiwa popote ulipo Tanzania
Bonyeza link kutazama video hii hatua kwa hatua
https://t.co/sFkZrf9EuN
Jinsi ya kutuma maombi ya kupata leseni ya biashara mtandaoni kupitia TAUSI PORTAL
Soma zaidi
https://t.co/QbcyRmclRv
KUSAIDIWA KUPATA LESENI YA BIASHARA MTANDAONI KUPITIA MFUMO WA TAMISEMI WA KUOMBA LESENI ZA BIASHARA "TAUSI PORTAL".
TUWASILIANE WHATSAPP 0752026992.
Je, wewe ni mzazi na hauelewi jinsi ya kupata cheti cha kuzaliwa cha mtoto?
Au wewe ni mtu mzima ila hauna cheti cha kuzaliwa na haujui jinsi ya kupata cheti cha kuzaliwa kwa mtu mzima?
Bonyeza link kufahamu zaidi
https://t.co/v4Cnr4azTH
Share na wengine
Jinsi ya kutumia Ring light kuboresha muonekano wa video na picha.
Jifunze hatua kwa hatua jinsi ya kufunga, kuunganisha na kuseti RINGLIGHT inch 10 kwa matumizi ya nyumbani na ofisini.
Bonyeza link kutazama Video kamili
👇👇
https://t.co/SNxdMUq4S4
nobody cares about your potential. potential is worthless. everyone has potential. what separates the greats from the wannabes is reality. finished work. shipped products. written pages. solved problems. stop talking about what you could do and go create proof of what you did.
Waiting on luck to hit your wealth goals is a slim chance.
Even if it does happen, you likely will have worked so hard for it that you may not even notice it.
To get wealthy, depend on progressive, daily, and focused actions.
Fund your MMF, SACCO, stocks account, bond fund, etc. with an amount you can afford monthly.
Most people who got rich in the last decade didn’t make their money from Bitcoin.
They ran businesses.
They bought land.
They flipped goods.
They built brands.
They leveraged skills.
They invested in boring things.
They solved problems in their markets.
Bitcoin is a compelling story—but it’s not the story.
So stop acting like you missed the only train that mattered.
There were dozens of trains. Still are.
People who keep winning are not romantic about “once in a lifetime” plays.
They’re practical, consistent, and alert.
Bitcoin made some people rich.
But missing it doesn’t mean you missed your shot.
Hakuna kitu kinatesa akili za wataalamu wenye degree zao kama swali la Nitoke Vipi.
Unajiona kabisa una kitu na watu watanufaika na ujuzi wako.
Lakini uko mafichoni. Haujulikani.
Na kama baba wa Strategy, Robert Greene alivyosema: "What's unseen count for nothing".
Meaning wewe na degree yako sijui ya Harvard au wapi SI KITU kama soko halikuoni na halikuzingatii.
Hakuna malaika atawatokea watu na kuwapasha habari za ujuzi wako. That's your job kujipambania.
Siku hizi kizuri na kibaya vyote vinajitembeza.
So ufanye nini?
Hatua ya KWANZA kutatua kitendawili cha nitoke vipi ni kukiri you're not a strategic person. Wansema kujua tatizo ni nusu ya kulitatua.
Hatua ya PILI ni kumtafuta mtaalamu akuonyeshe how being a professional look like kwenye soko la sasa. Hata yule unayemzidi expertise lakini anafanya vizuri on visibility ana kitu cha kukufundisha.
Usipochukua hatua hizi, you'll be watching impotently as people not even close to your expertise winning in the market. And that's a recipe for being a bitter, resentful person.
You wouldn’t hit the gym once and expect results.
Same with marketing.
Real growth comes from:
Consistency
A system
Showing up even when there’s no applause (yet)
We don’t do “one-time campaigns.”
We do reps. Programs. Long games.
Time in the market beats hype every time.
Huduma za vyeti vya kuzaliwa na kifo e-RITA
1. Kuhakiki cheti cha kuzaliwa/ kuhakiki cheti cha kifo
2. Kupata cheti cha kuzaliwa/ cheti cha kifo
3. Kubadili cheti cha kuzaliwa/kifo cha zamani kuwa kipya
Huduma hii ni popote ulipo Tanzania.
Tuwasiliane WhatsApp 0752026992
Jinsi ya kufanya uhakiki wa Cheti za kuzaliwa mtandaoni kupitia eRITA Portal: RITA Online Birth Certificate Verification
Ingia kusoma zaidi👇
https://t.co/1Ldz2Nj1We
Kusaidiwa kufanya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa karibu WhatsApp 0752026992
Unatamani sana kuanza kufanya biashara mtandaoni ila una hofu ya kuanza,
Hii hapa njia rahisi ya kuishinda hofu yako na kuanza kupost matangazo yako ya biashara mtandaoni na kufikia wateja wengi zaidi.
Tazama video hii utapata kitu cha kukusaidia
https://t.co/ZMiHWTwlQC
Fahamu kuhusu Facebook Marketplace.
Facebook Marketplace ni jukwaa ambalo unaweza kununua na kuuza bidhaa kutoka kwa watu mbalimbali sehemu ulipo.
Tazama video hii kujifunza jinsi ya kutumia Facebook Marketplace
Bonyeza link kutazama video yote
https://t.co/Qgr8m39PNI
Firstborn sons don’t get the luxury of weakness. They grow up as the family’s unappointed second father, the problem solver, the backbone. While the younger ones get to ‘figure life out,’ the firstborn is already carrying burdens he never asked for. That pressure either breaks you or turns you into a man who refuses to stay broke.
They learn early: No one is coming to save them. Sacrifice becomes second nature. Responsibility isn’t a choice--it’s survival. That’s why most firstborn sons either rise to wealth or die trying. The struggle builds warriors, and warriors don’t stay broke.
“No matter how great the talent or efforts, some things just take time. You can’t produce a baby in one month by getting nine women pregnant”
- Warren Buffett