Mpaka Mseme Ukweli Wenu Ni Nani aliyewashauli MTuchanganye akili Zetu KWa Chama na Dube Wetu aliyekuwa Mtalajiwa ndo Katiba Itaonesha vizuri MAHAKAMANI kuwa Hers Said anatakiwa hadi 2026 bila Ya Hivyo Katiba Itaendelea Kuonesha Club haimtambui.
Kwa nini wanawake Wengi TANZANIA hasa Wa Hali ya Chini ..!! inapokaribia tarehe ya Kumbukumbu za Kuzaliwa Kwao wapo Tayari Kufanywa lolote ilimradi Itakapofika Siku Yake ya Kumbukumbu ya Kuzaliwa Kwake aonekane ana MAISHA Mazuriโฆ!??
Pesa Imekuwa Ngumu Sanaa ..!! Wanawake wengi wanajitongozesha huko Whatsap Kwenye Status zao KWa Kutumia akili Za Kifala sana na Wanaume wengi Siku Hizi Sio Mafala.
Pesa Imekuwa Ngumu Sanaa ..!! Wanawake wengi wanajitongozesha huko Whatsap Kwenye Status zao KWa Kutumia akili Za Kifala sana. ๐๐ป๐๐ป๐๐ป
Wanawake Wengi Wanapenda Wanaume ambao Washafanikiwa ..!! Na UKiona Mwanaume Yoyote Mwenye Mafanikio Ujue Nyuma Yake Kuna Mwanamke Mwenye akili ๐คฃ๐คฃ
Yani Mna Msiba Mkubwa wa Mtu Mwenye Mchango Mkubwa Yanga Nyie Mnamtambulisha Mchezaji..!? Tena Mchezaji Kiwango chake Kimeshuka..! Gharibu ajifunze nini Kwa Kipindi Hichi Kigumu Cha familia Ya Kaka Manji.??