Tarehe 29 sio tarehe ya kawaida tena.
Tutawakumbuka daima mashujaa wote waliouwawa wakidai haki.
Na maelfu waliopigwa risasi wakauwawa wakati Samia akijilazimisha kuwa rais wa Tanzania.
Damu zenu zisinyamaze kamwe hadi haki ipatikane.
Rest in power, comrades! #MO29#Saba7
Najua kila siku naongeza maadui na maadui wangu ni wale wachache ambao WANANUFAIKA NA UTEKAJI.
Sijaanza jana au juzi kusikia maneno ya "NATUMIKA KUICHAFUA NCHI". Mimi nilitekwa na kupigwa RISASI YA KICHWA nani aliwahi wajibishwa kwa hayo yote akiwepo MAFWELE?
Kwahiyo wanaoteka watu ndio hawaichafui NCHI ila sisi tunaopinga UTEKAJI NDIO TUNAICHAFUA NCHI? Mkatiwe huko.
Asante BBC mmepiga panapouma safi sana na NAWAAHIDI BADO NDIO KWANZA NAANZA. Hamuwezi kututeka na nikakalia KIMYA never.
Nayajua machungu ya kuwa kusikojulikana kwa siku kadhaa.
Nayajua MATESO MNAYOTUPITISHA MKITUTEKA.
Kwahiyo kwenye hili sihitaji ushauri mimi nimechagua njia ya kunyooka na hawa VIBAKA MPAKA KIELEWEKE.
TUTAKUWEPO🫵😎
Formula ni nyepesi;
1. Unasupport wauaji = block
2. Unamock dini za watu = block
3. Unapush reli za hovyo = block
4. Unabeza jitihada za wasema ukweli = block
5. Unasupport wanaosupport wauaji including wasanii = block
6. Una element za uchawa = block
Ladies and gentleman, there it is, meta publicly admits they were pressured by the illegitimate Tanzanian government to remove 3 accounts or face being banned in Tanzania, they complied by removing 2 accounts and restricting one.
I was aware, even before Meta issued its statement, that there had been pressure from the illegitimate Tanzanian government to remove our accounts.
Meta’s platforms—Instagram and Facebook—are currently the only major social media services still operating within Tanzania. It is important for Meta to recognize that, the government under the illegitimate President Samia Suluhu is unlikely to ban the one remaining platform that the public heavily relies on. Should such a decision ever be taken, the responsibility would rest with the government, not with Meta. Meta should not bow to political pressure that suppresses dissent.
Meta has a clear opportunity to take the principled stance that X (formerly Twitter) took when it declined to assist the Tanzanian government in actions perceived as suppressing dissent. By doing so, X protected the ability of citizens to speak freely.
I therefore urge Meta to immediately reinstate the accounts that were removed and restricted. Meta should allow the situation within Tanzania to be shaped by the actions of the government itself, rather than becoming indirectly or directly involved in measures that are contributing to limiting freedom of expression. Meta should uphold the same standard that X adopted—refusing to play a role in actions that could be used to silence the Tanzanian people.
@LarryMadowo@CNN@BBCWorld@bbcswahili@FoxNews@cnnafrica
@Otenga4Otenga@Rydx_017 He should liberate his country's people first, a wise man once said ''you should be weary of a naked man offering you his shirt "👕 along the lines of "a father cannot offer food to the neighbors while his household is starving" 🗣️🗣️🗣️
@BILALIHASSANI2@Daviedavie_ @Mrsdaviee brother Hilo Povuuu na Isha yote ya Nini?! Acha tabia za kike 🗣️🗣️🗣️ imekuuma kuona mwenzio kapata anaye mpenda. Roho mbayaa ulitaka akuvalishe Pete wewe?! Hata kama Single mother Bado ni mwanamke. Unatia aibu bwanaa 🚮🚮🚮