Perfect recommendation action movie.. WINGS OF DREAD..
follows air police officer Gu Chaoyang as he battles to stop a deadly hijacking mid-flight. Starring Chen alongside The Raid legend Iko Uwais as the main villain. 🎬
Wapambanaji wameomba na tips za kuzuia video za facebook kujiplay,Lengo ni kuokoa bando tips ni hizi hapa.
1.Fungua appy yako ya Facebook .
2.Bonyeza ile Menu icon ile yenye vitufe hivi ☰, mara nyingi inakuwa chini-kulia kwa watumiaji wa iOS au juu-kulia kwa wanangu wa Android.
3.Shuka mpaka chini na bonyeza Settings & Privacy > Settings.
4.Bonyeza Preferences (au shuka chini kutafuta Media).
5.Bonyeza Media.
6.Chini kuna Autoplay (au Autoplay in Feed and Stories), chagua (select) kamwe (Never Autoplay Videos)
Hapo utaokoa bando lako mpambanaji😁🫵
Mchungaji Hananja anasema aliwahi kualikwa kwenye mkutano wa mashoga, Bagamoyo ambapo alikutana na mashoga 100 wasomi na wana hela sana.
Anasema wanafadhiliwa na kulipwa na mashirika ya magharibi, alishuhudia wakiwa wamekubaliwa mradi wa milioni 400..Katibu wao hulipwa milioni 4 kwa mwezi na wengine wakilipwa kima cha chini mshahara wa mtu.
"Mke wangu alipowaona akalia kwa uchungu, wakampa laki 3 na 65, akalilie nyumbani..wenyewe wanasema
"Support Don't Punish".
#zehint #trend
Heist Movies You Should Definitely Watch 💰🔥
From high-security vault break-ins to desperate robberies and double-crosses, these movies bring tension, smart planning, chaos, and nonstop suspense. 🏦💣
Some are based on true stories… and some twists will completely catch you off guard. 👀🍿
Which heist movie is your favorite? 🎬