@SelcomPesa Habari, naweza kununua cryptocurrency kwenye exchange kupitia hio mastercard yenu pia kutuma na kupokea fedha kutoka kwenye online wallet kama vile skrill na ningependa kujua gharama za hizo huduma na swali la mwisho kuna limitation za kiasi cha miamala kufanyika kwa siku.
@GaitRash@Addy_Adams@bbcswahili@Official__Tima Katika Uislamu hatutumii akiri binafsi kuchanganua mambo ya kidin bali yanatumika maandilo basi. Cha msingi dini imeharamisha mwanamke kumuongoza mwanaume kwenye swala basi itabakia kuwa hivyo mpaka dunia inakwisha hakuna cha ikiwa hivi, kwamfano ipo ivi ishu ni haramu basi.
@Addy_Adams@bbcswahili@Official__Tima Achilia mbali hedhi tu, kitendo cha yeye kuongoza wanaume kwenye swala basi, hakuna swala hapo zaidi wanapata zambi.
@RealMasterMindX @Attract4Real Choose relationships for genuine love, respect, and connection, not just because they're better than being single.
Prioritize your own happiness and well-being.
You deserve a fulfilling relationship.