@PRegnald@Jambotv_ Sikiliza nikwambie media siyo ajenda ajenda ni kwamba shida zinatatuliwa kwa watu 2:afadhari MAKONDA anawaza kuisaidia watu wewe ambaye ni mpingaji tu you have no value to the society
@PRegnald@Jambotv_ Roho MBAYA Yako kwa MAKONDA utakufa mapema yeye Hana habari na wewe wasukuma ukimpinga ndo hufanya zaidi maana ukianzisha ligi na msukuma utakwama wewe theyare ready to die any time wapo tayari kufa mda wowote Wana msemo wa kuwa mtoto wa kiume lazima ufie VITANI
@iddynonga_ NARUDIA SIMBA MKITAKA MZAWA NENDENI ZANZIBAR achaneni namchezaji yeyote anayetajwa kusajiliwa na yanga aende tumechoka na wenye TAMAA kuhusu wachezaji wa kulipa professionals kwa BARA LA AFRICA sajilini 6 tu America msajili 6 kutoka kati ya nchi hizi:(EQUADO, VENEZUELA, Nk
@godbless_lema MR LEMA chukua MANENO ya MH, GWAJIMA yakusaidie JENERALI mazuri anayejua kupigana vita ni yule anayefahamu vizuri madhara ya vita na anayeshinda bila vita maana usitegemee utamshinda MAKONDA bila wewe kupata majeraha Tena makubwa jifunze kwa mbowe, heche na msigwa weka hoja
@godbless_lema SHIDA NA MAPUNGUFU GOD BLESS LEMA ni KUKOSA UTULIVU ANAPAPARUKA OVYO ana ATTACK Kila mtu awe askofu, mchungaji, askari, wanasiasa, na hatimaye mkuu wa mkoa AKISHUGHULIKIWA ana kimbia nje ya nchi, mbowe ana kazi sana amezungukwa na watu wasio na staha ya MANENO,
@ExMayorUbungo Wewe Boniface unachangia ngapi hapo Simba? YANGA wanawatu wengi wanaweka Hela include serikali ninyi Simba mmemwachia mo peke yake mkabaji kulaumu wachezaji na viongozi mpira ni fedha bone peleka fedha uone mpira ni propaganda, hayo maneno ya lawama bila fedha ni ujinga
@ExMayorUbungo Hawa ndo mashabiki wa hovyo wa Simba viongozi na mashabiki wote hamnazo wachezaji achieni magoli Hadi Simba washuke daraja wanawatukana kijinga hawajui kuwa huu ni wakati wa yanga yanga walizoea Simba kuwa juu wao wakati pale Simba Wana mtegemea mo peke yake kifedha