UAPISHO
Mh. Hemedi Ikoki ambaye ndiye Rais wa Serikali ya Wanafunzi MUSTSO, Leo Tar 11/06/2024 Amewaapisha Makatibu wa Wizara mbalimbali tayari kwa kuanza kazi katika Serikali ya Wanafunzi MUSTSO 2024/25
UAPISHO
Mh. Hemedi Ikoki ambaye ndiye Rais wa Serikali ya Wanafunzi MUSTSO, Leo Tar 11/06/2024 Amewaapisha Manaibu Waziri mbalimbali tayari kwa kuanza kazi katika Serikali ya Wanafunzi MUSTSO 2024/25
UAPISHO
Mh. Hemedi Ikoki ambaye ndiye Rais wa Serikali ya Wanafunzi MUSTSO, Leo Tar 11/06/2024 Amewaapisha Mawaziri mbalimbali tayari kwa kuanza kazi katika Serikali ya Wanafunzi MUSTSO 2024/25
Tunakupongeza Mheshimiwa Michael Musa Ollomi (@comrade_michael ) Kwa Kula Kiapo Cha Kuitumikia Jumuiya Ya Wanafunzi Taasisi Za Elimu Ya Juu Tanzania (TAHLISO) Katika Nafasi Ya Katibu Seneti.
.
Tunakupongeza Kwa Kuendelea Kukipa Heshima Chuo Kikuu Cha Sayansi Na Teknolojia Mbeya.
Wakati Viwanja Vya Main Kampasi Vikipokea Mapigo Yenye Viwango Tofauti Tofauti.
.
Kipenga Kingine Kitapulizwa Na Kuanza Kutimua Vumbi Katika Kampasi Ya Rukwa.
"Shiriki Uchaguzi Wa Serikali Ya Wanafunzi.Piga Kura Upate Viongozi Bora"
#HatuachiMtu
Sio Michezo Tu Burudani Pia Imesimama Mziki Wa Level Za #JamhuriYaWahandisi Unanogesha Siku Ya Mei Mosi Hapa Katika Viwanja Vya MUST Arena Ambapo Ligi Inaendelea.
.
#HatuachiMtu
Matukio Mbalimbali Ya Picha Kutoka Katika Viwanja Vya MUST Arena Ambapo Michezo Miwili Ya imecheza Hadi Hivi Sasa.
.
Kurasa Za Leo Zitakuhusu Kwa Namna Yoyote Maana #HatuachiMtu
Matukio Mbalimbali Ya Picha Kutoka Katika Viwanja Vya MUST Arena Ambapo Michezo Miwili Ya imecheza Hadi Hivi Sasa.
.
Kurasa Za Leo Zitakuhusu Kwa Namna Yoyote Maana #HatuachiMtu
Dirisha la maombi ya kujiunga na chuo kikuu cha sayansi na teknolojia mbeya awamu ya pili sasa liko wazi.
Unaweza kuomba kupitia https://t.co/VTvw84Ole5
Karibu sana Jumuiya ya wahandisi MUST
Cc:
@mbeyauniversity@mustso_updates
Wizara ya Elimu na Taaluma inapenda kuwatangazia wanafunzi wote kuwa matokeo ya awali kwa mitihani ya semister ya pili yametoka rasmi leo, Tembelea akaunti yako ya SIMS kuangalia matokeo.
As the sun rises on the beautiful month of August, we remember how blessed we are with daily opportunities. Let's embrace this new month with positivity and the promise to create wonders. Happy New Month! ππΌ #newmonth#August#HappyNewMonth
Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kwa kushirikiana na AzamTV imeandaa makala maalum ya bunifu za wanafunzi wa Uhandisi wa vifaa tiba (Biomedical engineering). Kipindi hiki kitakuwa kikioneshwa kupitia channel ya UTV
ili kutoa mafunzo ya stadi za vitendo kwa kwa wakulima, wajasiriamali wa biashara ya kilimo pia Yara itatoa fursa kwa wanafunzi wa vyuo vingine kuja kujifunza kwa vitendo ili kujenga wataalamu mahiri kupitia tafiti za kilimo.
#KnowledgeCentre#MboleaNiYara#KnowledgeGrows
Kituo hiki kitakuwa kikitoa elimu kuhusu lishe kamili ya mazao, afya ya udongo na usimamizi wa mbolea ili kuongeza uzalishaji na tija kwa wakulima.
@TanzaniaYara imeanzisha maeneo ya mashamba darasa ya mahindi, nyanya, na viazi katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia (MUST)