Mimi saa ingine huwa nalaumu babu yangu sana sababu ya kucheza na maisha wazazi wengine wakiiba mashamba ya wakoloni. That is how we ended up poor. But we were never meant for this life,ata height mimi ukiniangalia namna hii,urefu niya dynasty. Handsomeness pia niya dynasty. Lakini Sasa kama sahii nimeangalia hii mtoto ya kenyatta inaitwa Ngina,nikaona she is married
She is married some fat pumpum boy called Mwai. Now Mwais father, is the manager pale Karen country club. Na hii ni kitu inaniuma sana. Sababu sasa kama babu yangu hangenunua piano wengine wakinunua mashamba huko karen,acre moja ten bob,sahii ningekua nacheza golf huko karen. Labda ata baba yangu the late Cornelius Otieno Odiwuor,angekua manager huko aniwachie hiyo cheo kabla pneumonia imalise yeye
Na hapo ndio ningepatana na hii mtoto ya Ouru nipite nayo. Hii nitype yangu kapsaa. Now I am forced to chase low budget replicas of ngina kenyatta who live in kinoo,with standards of Lavington. Kama haka kanaitwa Eve maina nimekimbisa miaka nne kama yakubu jameni. Kinyanjui my grandfather, ulinikosea sana aki babuu