Ule wimbo wa kampeni wa CCM ndiyo sababu za kuwauliza CCM haya maswali kuhusu makato ya kutuma na kutoa fedha.. Maana ule wimbo una maneno kwa wapinzani wa CCM kana-kwamba wao CCM wanaishi baharini siyo ardhini.. Hebu tujikumbushe maneno ya ule wimbo.. "tumeipenda wenyewe!" ๐