After report ya CAG na teuzi za kipumbavu alot of scandals pop-up,,,, have asked why???? because wa Tanganyika ni chicken heads easy to forget ubongo nucta(.)
@moodewji@TitoMagoti sometimes silence is better than talking nonsense, we expect wisdom from old people but not this ponjoro, siku ana kuja president ambae hapendi maovu ndo yataibuka yaleeee ya Manji.
VIDEO:
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Mchambuzi wa Masuala ya Siasa, Jamii na Uchumi Dkt. Richard Mbunda, katika kujanga msingi wa maridhiano Nchini unaotokana na 'mparaganyiko' wa mambo mengi yaliyotokea Oktoba 29 mwaka huu na siku zilizofuata, ameshauri kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) itakayokuwa chachu ya kuelekea kwenye mchakato wa kupatikana kwa Katiba Mpya
Akihojiwa na Jambo TV leo, Jumamosi Desemba 27.2025, Dkt. Mbunda ametoa ushauri kwa chama tawala (CCM) kukaa pamoja na vyama vya upinzani na ikiwezekana wakubaliane kuundwa kwa SUK ambayo 'itatuliza nchi' na kutoa mwanya wa kujadili kwa pamoja kuhusu mustakabali wa kupata Katiba Mpya
Katika maelezo yake amesema, kwa mazingira yaliyopo sasa nchini, ili kujenga Umoja wa Kitaifa na maridhiano ya kweli ni vyema kila mmoja akatambua kuwa maelewano miongoni mwa wanasiasa ni silaha ya kwanza.
@msouth_Tupac@NaomiUliza I feel something tight in my throat when hered this mediocre speech and brainless folks clapping, who bewitched us?🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@swahilitimes hao wote ulo wataja wanamchango gani kwa maisha ya mtanzania? zaidi ya kuimba mapenzi kilaaaaaasiku (nakumisi, nakupenda, takuoa, wewe ndo wangu, tako kama la mamaake ila sura ya baba, na upuuzi mwingine mwingi) alafu wakiwa majukwaa ya CCM wanaongea shobo K*maninaa zao F*dem all
@McinikaWaLamar@MarekaMalili@ZetuSiasa ungesema haki na amani ingeleta maana, I don't know why mna skip kutaja neno HAKI, UKITENDA HAKI AMANI HUITAFUTI INAKUJA YENYEWE, HUWEZI KANDAMIZA HAKI YA MTU ALAFU UNAMWAMBIA AMANI NI BORA KULIKO HAKI tulisha vuka huko miaka ya 1960's hizi zama zingine HAKI,HAKI,HAKI,HAKI,HAKI..
@Rajack255@babalao__ sasa mlicho zungumza ni kipi? mana hakuna positivity yoyote since zaid ukandamizaji wa wanao kosoa na kuhoji utendaji na uwajibikaji kwa government au mlitaka wakija wakae kama mazwazwa wasihoji wakiona mambo hayapo sawa?
@YerickoNyerereT Aliye kwambia kuna maridhiano nani? with who? when? where? maridhiano tuliyataka kabla ya uchaguzi wakasgupaza shingo, maridhiano ya sasa ivi yanafaida gani? kwa nani? ili yajenge nini?