@PresenterNoah Hivi nyie mmesoma vyuo gani!?.Hivi mnajua maisha ya UDSM afu ukae Mabibo hostel kweli.Afu uwe na uhakika wa pesa za kula tu na kuvaa.CHUO maisha ni matamu balaa
@nyuki_malkia Afu unakuta unatamani ata kumuona tu,lakini yeye kazuia kila kitu kitakachokufanya umuone kirahisi,ata kama ulikuwa unapajua alipokuwa anaishi,basi anahama kimya kimya ili tu usije kumpataππ.hiyo ni bonge moja la psychological tortureπ
@nyuki_malkia Afu unakuta unatamani ata kumuona tu,lakini yeye kazuia kila kitu kitakachokufanya umuone kirahisi,ata kama ulikuwa unapajua alipokuwa anaishi,basi anahama kimya kimya ili tu usije kumparaππ