@ITVTANZANIA wa Kiwira Tukuyu Mbeya,
Havipo juu ya sheria bali mamlaka husika umewaacha wafanye kazi.
Hivi vituo vya kuuza mafuta hafipo chumbani kusema hawavioni.
@TBConlineTZ wa Kiwira Tukuyu mbeya,
Tbc bila kuficha kila kipengele ni kizuri mno, hakika aliebuni kipindi hichi kuwepo chenye mtililiko huu peponi moja kwa moja.