@EsirEid Hili Sasa fact ata huyo maalim seif alikua na nguvu alivyoingia kwenye serikali ya Zanzibar lisu akihitaji jambo kwenda vzr akubari kuingia serikalin unless other wise atanyongwa na sisi tunaendelea kutype humu humu with no action
@IAMartin_ Nimecheka kwenye uchaguzi mdogo wa madiwani 2013 lisu anasema hajawahi kuona mbio za mwenye kiti mbowe alishangaa kuona anambio kias kule @IAMartin_
@Elsukay0 Hii ni sleeping palalysis hakuna kulogwa wala nguvu za Giza ni ni ongezeko la acid kupita kiasi na kulala chali ulimi na koo kupunguza uweO wa kupitisha hewa na huwatokea sana wanaotumia pombe
@LucasWaita56573 @Elsukay0 Hiyo ni dalili za kua na ugonjwa wa moyo shida kwenye mfumo wa damu na upumuaji Kwa ujumla kitaalam inaitwa sleeping palalysis au parasomnia hutokana na acid kuzid mwilin wale na wanaopendelea kulala chali
@JinoUkucha Anaitwa nyemo huyu jamaa nyumban kwao chamwino Dodoma mcheshi sana Toka shule alipata changamoto ya mguu Ila yupo vzr Hadi kiuchumi anauza juice jaba kwa siku