UKOMBOZI WA NYAYO NA KUCHOVYA MIGUU KWENYE MAFUTA YA UPAKO
Jiunge Live
Join Zoom Meeting
https://t.co/6TcISGVkJe
Meeting ID: 870 9052 7281
Passcode: pokea
Wakolosa 2:14-17
Hukumu inapambana na famΓlia Yako,watoto wako masharti waishi maisha magumu.
Watu wameendelea kufundishwa kutoa fungu la kumi kwa sababu vitu vyao vingi vinaliwa na watu wasiowajua.
Lakini wakitoa kwa uaminifu mbele za Mungu wataongezewa zaidi.
Malaki 3:10-12
Kesi yako Imekwisha.
18 may 2025.
Kuna watu maisha yao ni gereza unalopitia unadhani ni kawaida kumbe sio kawaida. kuna watu ambao wamekuhukumu leo hii hiyo kesi inakuachia katika jina la Yesu pokea kuwa huru.
Maisha yako ni roho sio mwili , kinacho chakaa ni mwili kinachokufa ni roho.
Kwanini tunafuta kesi kwasababu maisha ya watu wengi wanatembea na kesi inafanya usifike pale unapopataka.
Wakolosai 2:14
Watu wengi wanashindwa kufanikiwa kwa sababu kuna kesi ambazo zinamwendesha hafiki anapo pataka .
Kuogopa ni kuwa na kesi kuacha kuogopa ni kutokuwa na kesi
Mathayo 14:20
Nataka kila kesi inayokusumbua ndani ya moyo wako leo hii ifungie nje ya moyo wako , kesi yoyote inayokusumbua itoe nje ya moyo wako huna kesi tena.
Kongamano la wafanyakazi na wafanyabiashara. May 17.2025
Mwanzo 22:14
Wagalatia 3:9
Mwanzo 12:1-4
Ukiishi maisha ya kutegemea nguvu za kiganga za kishirikina unakuwa na mafanikio fake ila ukifanya kazi biashara yako huku ukimtegemea Mungu jina lako linaanza kukua .
Dunia imetengeneza madhabahu za wafanyakazi na wafanyabiashara wana ibada zao ambazo wanazifuata na kuzifanya na wanafanya hivyo ili majina yao ya kue kuanzia sasa wote wanaotumia nguvu za kishirikina wanaanguka china na watapanda juu wale wote wanaomtegemea Mungu. Majina yao yatakuwa sana ni katika jina la Yesu pokea neema ya kufanikiwa kiuchumi.
Maisha yako asilimia mia ni kiroho na sio kimwili wewe mfanyakazi na wewe ambae unafanyabiashara.
Watu wengi wamepoteza nguvu zao za kimwili ili wafanikiwa lakini hawajafanikiwa wameacha nguvu zao kutegemea kiroho.
Sio rahisi sana watu wengi kusema wamefanikiwaje unaweza ukadhani amefanikiwa kwa sababu amesomea hicho kitu lakini sio rahisi sana kusema ni nguvu gani anayoitumia ilikuwa hapo alipo leo.
Lazima ujue ni kuuza muda wako , unauza muda wako alafu ule muda uluouuza unatumia kile ulichokupata kwaajili ya kula na kuvaa sijasema kua usile usivae hapana ila pambana sana katika kuweka ili baadae uwe na uwezo wa kufanyakazi zako binafsi
Unafikiri kwanini Matunda asilimia kubwa tunayokula ukila mbegu zake ni chungu Mungu alifanya hivyo kusudi kupata matunda zaidi ili upande
Nakupanda kunahitaji mtu mwenye uelewa sana na yule alieamuu
Lazima mwanadamu utambue maisha yako yote asilimia mia ni maisha ya kiroho
1 samweli 9:1
Na sikutii moyo sana kufanyakazi ya kuajiriwa kwa kudumu kwa muda mrefu sisemi usiajiriwe lakini tumia ajira yako kama meza ya kupandia kwenda kiwango kingine.
Usikatae kuajiriwa ila tumia ajira yako usipo kuwa makini ajira yako yaweza kuwa uchawi wa maisha yako. Yani unaloga utajiri wako usipo kuwa makini ila ukijua kua ajira ni ngazi ya kuinuka hutafanya mchezo kwenye ajira yako .
Sio sifa kufia kwenye ajira , ajira ni moja ya kitu hatari sana usipo kuwa makini kuamaniki
Watu wengi wanapo ajiriwa sehemu wengi wanawaza kuiba. Acha kuwaza mawazo ya kuiba waza kutengeneza na utafanikiwa sana .
Wengi wakiajiriwa akiwa kwenye ajira huwa anaamka asubuhi sana ili kuwahi kazini ilimradi asifukuzwe. Baadae akifungua kazi yake anachelewa kwenda kufungua anaamka saa 4 asubuhi. Inaonyesha kuwa kwenye ajira ulikua mtumwa, nakushauri ile bidii uliyokuwa nayo wakati umeajiriwa ndio bidii ileile izidi zaidi katika kazi zako utafanikiwa sana ukiijua hii mbinu.
Ukifika eneo ukaona watu wanaona matatizo kama matatizo hawawezi kutajirika,watu wanaona matatizo kuwa faida kwao watatajirika.
JUMAMOSI HII USIKOSE KONGAMANO LA WAFANYAKAZI NA WAFANYABIASHARA.