TIMU ZILIZOSHINDA MECHI ZOTE ZA MAKUNDI WORLD CUP
FRANCE 🇫🇷
ARGENTINA 🇦🇷
MEXICO 🇲🇽
TIMU ZILIZOPOTEZA MECHI ZOTE ZA MAKUNDI WORLD CUP
PANAMA
UZBEKISTAN
JORDAN
IRAQ
TUNISIA
HAITI
#worldcup#fifa#Fifaworldcup2026
Goli namba 6 kwa Lionel Messi and still counting
Mechi ijayo anacheza dhidi ya Cabo Verde kwenye Hatua ya 32 bora
Msimu wa 2022 Messi alifunga Magoli 7 Akiwa mfungaji Bora wa pili nyuma ya Mbappe aliemaliza na Magoli 8
Nani Mgumu wakumzuia MESSI!?
I DO NOT OWN THIS VIDEO
Ni kwa kiasi gani SINGIDA walikuwa na plan nzuri leo ya kucheza na SIMBA lakini Walikosa UMAKINI na Kuadhibiwa Kwa SABABU IYO
I do not own this video
Video credit to @azamtvsports@azamtvtz
Dembélé ameandika historia Kombe la Dunia 2026 kwa kufunga hatrick ndani ya kipind cha kwanza dhid ya Norway ndani dakika 32 tu (7, 20, 32). Amevunja ukimya wa miaka 32 tangu tukio la mwisho kufanywa na Oleg Salenko mwaka 1994. mmoja wa wachachekufanikisha rekodi hii ya kipekee🔥
Licha ya kufungua michuano kwa kichapo cha bao 2-0 South Africa anafuzu hatua ya 32 bora Baada ya Kumfunga South Korea Bao 1-0
Ana kwenda kukutana na CANADA hatua inayofuata
🚨 TUNABADILI MUONEKANO. TUNAPANUA MAONO. 🚨
Kuanzia leo, Mwana Blog rasmi inabadilika na kuwa MWANA DIGITAL.
Mabadiliko haya si kubadili jina tu — ni hatua ya kukuza brand yetu kwenda kiwango kingine.
KOMBE LA DUNIA MZUNGUKO WA KWANZA UMEISHA MABARA NA ALAMA WALIZOOKOTA
AFRICA- PTS 11 (11)
OCEANIA- PTS 1 (1)
ASIA- PTS 10 (9)
SOUTH AMERICA- PTS 8 (6)
NORTH AMERICA- PTS 7 (6)
EUROPE - PTS 29 (16)
( ) IDADI YA TIMU KUTOKA KWENYE BARA HUSIKA
WAAFRIKA WAWALIZA WAAFRIKA WENZAO KWENYE VITA DHIDI YA ULAYA
Mbappe - BABA Mcameroon MAMA ni Algeria ila Mzaliwa wa Ufaransa
Barcola- BABA Mtogo MAMA Mfaransa
Ft France 3 - Senegal 1
⚽️⚽️Mbappe ⚽️ Barcola
⚽️mbaye
Mzee wetu Deschamps Nadhani mpaka sasa anakosa BALANCE kwenye Timu yake,,Huduma hazifiki MBELE Kama inavotakiwa,,,Kama OLISE anaombea ndani zaidi ubora wake Unafichwa
Pale kwa tchoumeni na Rabiot Alaf mbele Dembele Pambanguliwe
COASTAL UNION chini ya Kocha FIKIRI ELIAS
MECHI 9
USHINDI -5
SARE -1
KUPOTEZA- 3
ALAMA 16 kwenye Mechi 9 kabla ya hapo COASTAL UNION walicheza game 18 Wakavuna ALAMA 16