"Bado sinywi pombe kama ulivyoniacha shuga../
Huwa naswali ila sifungi mawazo yamenipa ulcers../
Wananicheka ujinga 'coz nakuongelea wewe tu../
Nikiongelea mapenzi mfano wangu wakwanza ni wewe boo../
Sema mheshimiwa @MwanaFA anakuwa deep sana kwenye mapenzi. Hii ni hazina๐
HONGERENI JamiiForums kwa kuanzisha โJamiiCheckโโฆ leo mtu akilishwa matango pori mtandaoni akaaruka nayo, kaamua mwenyewe, kwani mmewapa watumia mtandao fursa ya kucheck usahihi wa habari/taarifa!๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐ช๐ฝ๏ฟฝ๏ฟฝ๐ฝ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
@Madeeseneda Alikuwapo hapa,mbona hakuwa anaanza?Mchezaji wa hovyo,anafaa timu hizo hizo sjui CP sjui Asenali sjui Westham,hizi kubwa kama zetu hawezi.
@Roma_Mkatoliki@JabirSaleh Ujue siku nasikia ghetto langu mara ya kwanza nimebaki natabasamu muda mrefu sana..mtu unawezaje kuchagua โshitty topicโ namna ile halafu ukaifanya iโsound that good?Mungu amrehemu yule msela wetu
Uandishi na style ya @MwanaFA uko juu Miaka Yote kwenye tasnia ya muziki Bongo! Sijawahi boreka kumsikiliza! Wakati mwingine nilitamani asishirikishe mtu ataharibu wimbo ๐๐
Heshima ๐๐ฟ๐ฏ