@Wakazi Bro mimi ni fan wa analysis skills zako, but on this one it seems kama vile you are hating on her, the girl anafanya shows Japan, India anajaza and kimsingi ana fan base kubwa sana ya madem ya age ya 30 kurudi chini fuatilia vizuri, she is BIG now whether u like it or not..
@KennedyMmari@godbless_lema Mkeka na maelezo ni mengi lakini jibu ni fupi, Siasa yetu inatoa nafasi kwa watu wenye uwezo na exposure kutekeleza hayo waliyojifunza?! Definately No, Obama aliwahi kusema Afrika tunahitaji strong institutions na sio personalities, nafikiri jibu la matatizo yetu lipo hapo.
@ESPNFC One match and you are all over comparing Saka to these, Saka has been consistent for almost 4 seasons in row, pls give the boy the respect he deserves
@swahilitimes Huyu jamaa anaongea nini?! Taasisi siku zote zinafanya kazi kwa karatasi, wao wanatakakuongeaongea, unawezakuona hawa jamaa wanatakakujua Yanga wana evidance gani iliwajue wanaanzia wapi?! Mwendo ni maandishi tu hakuna tirarira.
@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@Balyx_@DullahTheking2@MissChelsea1221 Watanzania tunashindwa kuelewa vitu vidogo kabisa, mtu ambae ameleta mafanikio makubwa kwa soka la Tanzania wala sio Karia, ni Bahresa baada ya kufanya uwekezaji kwenye soka letu na kuliongezea thamani ndani na nje ya nchi, Karia hana cha ajabu alichofanya.
@CarolNdosi Je kulikua na hio need ya kuoperate 24hrs ilikuaddress a certain shortage?! Au ni kukurupuka?! Mimi nafikiri serikali ilitakiwa ianze kwanza kuoperate bandari na agencies zake pale bandarini kwa 24hrs, then wafanye assessment kuona impact then ndio waende kkoo.
@HKigwangalla Kwa vile vichurachura ulivyowarusha wale askari tunachelea kuamini tuhuma zote juu yako, mzee wa nje ya box, kwa ujuaji wako safari hii hata bungeni sijui kama utarudi…
@freemanmbowetz Mzee kubali muda umeshakuacha, a good dancer knows when to leave the stage, nimerevisit ile interview yako ya Citizen, uliwa underestimate sana and you were full of pride, ukasema Lema atafukuzwa na tawi, leo ni mjumbe wa kmt kuu,Kubal kua ww ni b’damu and find peace in it.
@KennedyMmari@dsramadhan9 Ballon d or ni award and not a trophy, awards zina siasa za kimpira, what CR7 has achieved despite vita alizopigwa zinamfanya awe ahead of Messi, but hiondoi ubora wa Messi.
@privaldinho Kijana unabonga sana as if ballon dor ndio kila kitu, iko hivi ballon dor ni zawadi( award) sio Kombe ( trophy), Madrid hua wanashinda trophies especially champions league wakati Barca mnashinda awards, kama mchambuz inabidi ujue hua soka lina siasa yake na hii ni moja wapo.