Mwanamke usifute namba yake wala usim'block. ILA USIMTAFUTE.
Mfanye ajue kuwa unauwezo wa kumfikia lakini umechagua kutofanya hivyo..
Wanachanganyikiwa sana wakigundua wanapuuzwa kuliko ukiamua kushindana nao..
Hatuwi waaminifu kwasababu ya kutarajia kitu fulani, wala hatutakiwi kuwa waaminifu kwasababu ya kumfurahisha mtu,
Bali tunakuwa waaminifu kwasababu tunaelewa kutokuwa mwaminifu sio jambo zuri.
Good morning X Familia 👊🏾
Ningejua mapema kuwa KUNA NYAKATI HUJA NA KUONDOKA.
Basi kuna nyakati ningezilinda kwa gharama yoyote kwenye maisha yangu, na kuna nyakati nisinge jihusisha nazo kabisa💔🥹.
Sema ndungu zangu tusiigize maisha to the maximum, ukiwa huna mishe au huna kitu kuwa mkweli usaidiwe,
unaweza tokea mchongo ukakosa sababu washikaji wanaaamini unacho ananyimwa abapewa mwengine.
Ukweli unamuweka mtu huru.
Good morning hustlers 🙏🏾